Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #81
Tena sasa Hapo ndio tutapiga madola $ ya kufa MTU. Saaafi sanaDaraja la kigamboni na la tanzanite ni madaraja ya jiji na 90% ya watumiaji ni wakazi wa jiji tofauti na la wami watumiaji ni wafanyabiashara na linaunganisha biashara kati ya nchi za afrika mashariki na syo daraja la kupiga selfie