Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

Lile ni Machinjio mapya kwa malori na mabasi, ile kona sio nzuri kabisa hasa lori zikishafeli brake.

Kwa aina ya uendeshaji wa madereva vijana hasa kwenye malori majanga yatakuwa makubwa.
 
Hatuhamii Burundi ila Mwigulu katufundisha tununue decoder huko na tutalipia huko huko bila tozo yoyote ile.
 
Lile ni Machinjio mapya kwa malori na mabasi, ile kona sio nzuri kabisa hasa lori zikishafeli brake.

Kwa aina ya uendeshaji wa madereva vijana hasa kwenye malori majanga yatakuwa makubwa.
Hili jipya halina Kona sana
 
Yeap, UKITOKEA upande wa Tanga sio? Sema haiko sharp sana
Kutokea Tanga sijaona Kona yoyote kali tena barabara imeboreshwa,kutokea Msata sijui kama kuna kona kali na barabara yake ni Pana sana.
 
Kutokea Tanga sijaona Kona yoyote kali tena barabara imeboreshwa,kutokea Msata sijui kama kuna kona kali na barabara yake ni Pana sana.
Kutokea Mandela pale kijijini kwenda darajani(kama unatoka Tanga ) kuna down...na ule upande wa pili wa ile kambi ya jeshi Kihangaiko..kuna vijikona vya kiaina..ngoja tuone likiisha.
 
Huo ni ujuha, si limejengwa kwa kodi zetu? Tulipie mara mbili?
Mshahara ,unakatwa Kodi ,(pay) ukiwekwa Bank wanakata Tozo .
Ukumtumia bibi Yako yakuununua sabuni wa nakata Tozo. michango ya hifazi ya jamii nayo inatokana na mishahara ilio katwa Kodi, siku yakuchukua mafao Wana kata Kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…