Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

Huo ni ujuha, si limejengwa kwa kodi zetu? Tulipie mara mbili?
Hizo hela zako huko bank unazoogopa hata kuzigusa wanazotoza wao tozo wewe umezizungusha zikakuingizia bei gani mpaka ukapata faida ndo wakazitoza hiyo tozo?

Ni wizi tu,wameamua kuwabaka Watanzania huyo Mchemba akikaa na mkewe story zikawaishia wanaingia kujadili masuala ya kitaifa mwisho tunakutana na pumba zao mtaani.
 
Aisee
 
Kutokea Mandela pale kijijini kwenda darajani(kama unatoka Tanga ) kuna down...na ule upande wa pili wa ile kambi ya jeshi Kihangaiko..kuna vijikona vya kiaina..ngoja tuone likiisha.
Daraja jipya liko juu kuliko la zamani,obvious ule mteremko wa kutisha umepunguzwa sana. Kona ni inevitable labda daraja lingewekwa juu ya ofisi za idara ya maji au barabara ingepita ndani ya kambi. For once tuheshimu taaluma za watu.
 
Ntakuwa napita lile la zamani
 
Kweli kabs kwasabb wameamua kukusanya tozo bas wakusanye kikamilifu hata pale daraja la ruvu waangalie namna watakusanya tozo
 
vituo vya daladala waweke tent za kujikinga jua mtu akisimama kusubiri usafiri alipie tozo za kununua ma vieite mapya na kuongeza posho za watawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…