Daraja la kigamboni na la tanzanite ni madaraja ya jiji na 90% ya watumiaji ni wakazi wa jiji tofauti na la wami watumiaji ni wafanyabiashara na linaunganisha biashara kati ya nchi za afrika mashariki na syo daraja la kupiga selfie
Mshahara ,unakatwa Kodi ,(pay) ukiwekwa Bank wanakata Tozo .
Ukumtumia bibi Yako yakuununua sabuni wa nakata Tozo. michango ya hifazi ya jamii nayo inatokana na mishahara ilio katwa Kodi, siku yakuchukua mafao Wana kata Kodi.