Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Kitu akishaingilia Bashite lazima kiharibike i don't know why
 
Tuache utoto, sawa hii INA msalaba usinunue wala kuivaa, vaa ile ya zamani isiyo na msalaba. Serikali na TFF hawajalazimisha mashabiki kuvaa na hiyo jezi, Unaweza usivae jezi yoyote na ukashangilia, unaweza vaa kanzu, jezi ya club yako au Jezi za Taifa stars zisizo na msalaba. Nadhani baada ya hamasa ya kujaza uwanja, Waganda na mabeberu wengine wametengeneza hii propaganda, TFF na Wizara, Zalisheni au Muagize jezi mbadala usiku wa Leo ili kuepuka propaganda hii ya Kipuuzi. Naamini Luna wasambazaji wenye jezi za zamani Stoo
 
Yeye alipojenga msikiti akijua wazi kabisa kunankiwango kikubwa cha mashabiki wake waliomfikisha hapo si waislam, si angejenga hata Zahanati, sasa atake asitake ndio atavaa huo msalaba sasa.
 
Msalaba huo waislam hawavai ninavowajua waislam hawana dogo
TFF maana yake Tanzania football fitna na haya yote kayataka makonda specialist of failure akiongoza jambo lazima afeli hapa inadhihirisha kweli alipata ziro
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…