Hujajibu hoja...ambulance ambazo zinaalama ya msalaba nyi waislamu hamuwezi kutumia..???je zinaligawa taifa???
Mbaya maua mengi
Keep your forked tongue behind your teeth you witless worm
Hakuna lingine zaidi ya hilo ambalo linakufanya usiipende jezi?Jezi imepambwa utadhani nyumba ya muhindi sivai mimi
Hakukuwa na sababu ya wao kuweka hio alama japo sijui waliona hataleta chochoko.TFF wakiwa na akili nzuri hizi jezi hazitavaliwa kamwe vinginevyo kutakuwa na viroja uwanjani kuhusu jezi hizi kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa Taifa Stars labda wazivae ugenini.
Mkuu unauhakika gani kama ni waislamu wa uswahilini ?Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale muslims wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Kwahiyo kwa sababu ambulances ina msalab basi na jezi unaweka msalaba? Lijezi libaya lina marangi mengi sijui nani designer
Na kitimoto utakuta anakula unaambiwa ukifikaga mwezi wa ramadhani mauzo ya kitimoto hua yanapungua sanaUtakuta muandika mada anapiga vyombo mpaka basi, lakini jezi ya taifa stars ndo anaiona haramu
Umeoana eeh.mdosho
These are petty issues, viroba vya maiti hamvioni?Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.
Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.
Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.
View attachment 1052174
Kwahiyo Taifa Stars ni.Ambulance, Kanisa au.Kaburi la wakristo?Mbona ambulance zina msalaba na bado mnazitumia nyie wafuasi wa mudy
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani tulipofikia kama nchi hakuitaji calculator kujua kua nchi haiko kama awali..
Tumia neno mkanganyiko na sio mgawanyiko wa taifa kupima mgawanyiko wa taifa sio kwa kutumia mtandao ya kijamiiKiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.
Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.
Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4
Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312
Sent using Jamii Forums mobile app