Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Ujinga umejaaa kwenye Vichwa vya Mijitu myeusi. Shithole kabisa kujadili vitu vya kijinga hasa mijadala ya kidini, ni ishara ya Ujinga na Umaskini pumbavu kabisa
 
Hv mbona tuna jezi nzuri tu, ingawa mi ni mpenzi wa simba ile jezi ya blue ,nyeusi na njano inafaa kabisa hawa waliobadili ni wapenda hela tu za manunuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekula kwake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wapumbavu tu ndio wana muda wa ku debate kuhusiana na hii jezi, hata muislamu mwenye akili zake timamu anayeijua vyema dini yake hawezi kupoteza muda kuhoji stupid stuff kama hizi, ni wale muslims wa uswahilini wenye majungu majungu ndio wanaoibua hoja za kijinga namna hii! Nonsense!
Mkuu unauhakika gani kama ni waislamu wa uswahilini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta muandika mada anapiga vyombo mpaka basi, lakini jezi ya taifa stars ndo anaiona haramu
Na kitimoto utakuta anakula unaambiwa ukifikaga mwezi wa ramadhani mauzo ya kitimoto hua yanapungua sana
 
Wakuu habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ni uzembe wa TFF kuja na aina ya jezi ambayo ina msalaba ndani yake.

Suala hili si la kufanyia mzaha na linaweza kuligawa taifa pamoja na kurejesha nyuma morali na hamasa ya kuishangilia Taifa Stars.

Tanzania haina dini hivyo kuingiza alama ya dini fulani katika Taasisi ya kitaifa sio tu ni kitendo cha kizembe bali ni hatari kwa mustakbali mzima wa amani ya nchi yetu.

View attachment 1052174
These are petty issues, viroba vya maiti hamvioni?
 
Kiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.

Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.

Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4

Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia neno mkanganyiko na sio mgawanyiko wa taifa kupima mgawanyiko wa taifa sio kwa kutumia mtandao ya kijamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom