Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,551
acha urongo, mbona yanga waligomea jezi yeue kibaka chekundu, sio sawa hizo jezihii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Mimi hata mumchore shetani kama mna picha yake sina wasi wasi. Msalaba sio ishara ya ukristo tu ipo zipo ishara nyingi, hata magari ya ambulance tusiwe basi tunayakaribia.Mantiki siyo kutisha ila msalaba ni alama ya dini za kikristo wakati huo serikali haina dini ,ni sawa na jezi kuchorwa nusu mwezi na nyota .
Sent using Jamii Forums mobile app
yanga ni wakristo.acha urongo, mbona yanga waligomea jezi yeue kibaka chekundu, sio sawa hizo jezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada kasema yeye ni mkristohii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
umeamini vp? kakuonesha cheti cha ubatizo.
Huo ni msaba kweli ila kama muislam unakataa kuvaa jezi yenye msalaba ni sawa kwa iman ya din yake ila pia imabidi akatae pia kuvaa jezi ya serengeti vile inakataza ulevi na ila ya kamar sasa kwa soka letu ni mitihan tuAlama ya kujumlisha sio msalaba,acheni kutufanya waislamu wote tuonekane tuna akili za kipuuzi kwa utashi wa mtu mmoja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Hyo ni logo tuu, hakuna kiashiria cha udini hpo, wavae tu.Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Nchi hii ina chembechembe za udini toka awamu ya kwanza tena nyie msiokuwa waislamu ndio mna chuki zaidihii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Kuna kila dalili wewe ndie kiumbe uliyejawa chuki, tena chuki za kijinga! Una uhakika kwamba mleta mada ni Mwislamu au ni chuki zako?! Mleta mada amesema wazi kwamba yeye ni Mkristo, unaweza ku-prove otherwise?!hii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi