Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Mantiki siyo kutisha ila msalaba ni alama ya dini za kikristo wakati huo serikali haina dini ,ni sawa na jezi kuchorwa nusu mwezi na nyota .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hata mumchore shetani kama mna picha yake sina wasi wasi. Msalaba sio ishara ya ukristo tu ipo zipo ishara nyingi, hata magari ya ambulance tusiwe basi tunayakaribia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alama ya kujumlisha sio msalaba,acheni kutufanya waislamu wote tuonekane tuna akili za kipuuzi kwa utashi wa mtu mmoja..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni msaba kweli ila kama muislam unakataa kuvaa jezi yenye msalaba ni sawa kwa iman ya din yake ila pia imabidi akatae pia kuvaa jezi ya serengeti vile inakataza ulevi na ila ya kamar sasa kwa soka letu ni mitihan tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi hii post ni ya mpinzani wetu...ameamua kutugawa siku 1 kabla ya mechi.

Hii ndo inaitwa devide and rule

Watanzania tushikamane pamoja tushangilie timu yetu
 
hii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Nchi hii ina chembechembe za udini toka awamu ya kwanza tena nyie msiokuwa waislamu ndio mna chuki zaidi
 
hii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Kuna kila dalili wewe ndie kiumbe uliyejawa chuki, tena chuki za kijinga! Una uhakika kwamba mleta mada ni Mwislamu au ni chuki zako?! Mleta mada amesema wazi kwamba yeye ni Mkristo, unaweza ku-prove otherwise?!

Btw, ile minyukano isiyoisha kati ya Wasabato na Walokole dhidi ya Wakatoliki, ni lipi dhehebu la Kiislamu kati ya hayo?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom