Kubwa jingahii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Na haiwezi tokea ukute imechorwa hizo alama kiislam kama unavyodaihii dini kuna mahari ina shida, dini imejazwa chuki mwanzo mwisho. kama ingetokea imewekwa alama za kiislamu hakuna mkristo angehangaika na huo upuuzi
Wote makubwa jinga urithi wa imani za kigeni zimewaharibu eti uislam(islam) na ukristo(christ) ndiyo nini?je waafrika wasiofuata huo ujinga wenu hawaishi?Kubwa jinga
Zero brain uafrika ndio dini gani?Wote makubwa jinga urithi wa imani za kigeni zimewaharibu eti uislam(islam) na ukristo(christ) ndiyo nini?je waafrika wasiofuata huo ujinga wenu hawaishi?
Mtakuja jitambua mmelishwa vinyesi vya wazungu na waarabu mkiwa makaburini.
Rejeeni imani zenu za UAFRIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa lifungwe tu hilo timu lao la kibashite
Dawa lifungwe tu hilo timu lao la kibashite
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Mpaka hapo washafeli,plus ile kamati yao ya uhamasishaji yan wapigwe tu kwakweli
Acheni uchochezi na UPOPOMA hiyo ni kawaida, Mambo ya udini hayatakiwi
mkuu ulivyo paniki nimecheka sana, nimemkuta na mwenzako huku mtaani (kijiwe cha kutengeneza pikipiki) kauwasha moto juu ya hii jezi.Kuna kila dalili wewe ndie kiumbe uliyejawa chuki, tena chuki za kijinga! Una uhakika kwamba mleta mada ni Mwislamu au ni chuki zako?! Mleta mada amesema wazi kwamba yeye ni Mkristo, unaweza ku-prove otherwise?!
Btw, ile minyukano isiyoisha kati ya Wasabato na Walokole dhidi ya Wakatoliki, ni lipi dhehebu la Kiislamu kati ya hayo?!
wapi nimekutukana mkuu,dini yenu ina shida sana. mlianza mfitini hadi diamond kisa kuvaa cheni yenye msalabaWrite your reply...Naona kuna mijitu inatulazimisha waislamu tuvae misalaba. Tuko makini sana na njama zenu za kutuvalisha masanamu yenu ya makanisani . Sasa we Zipompa unaanzia wapi kututukana?? TUKISEMA HII SERIKALI NI YA KIKRISTO MNABISHA, HAYA SASA ISHARA NI HIZI
Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?Kuna baadhi ya watu wanakosoa jezi hii Mpya ya Taifa Star je kwa mtazamo wako kosa lipo wapi?View attachment 1051907
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiubunifu kulikuwa na sababu ya msingi kuweka 'msalaba' hapo?Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ