Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.
Hizo jezi TFF wamethibitisha kama ni jezi rasmi za Taifa stars ? .Nikipata jibu la swali hilo nitarudi kutoa maoni
 
Ambulence ina msalaba pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, ila linapokuja suala hili ni tofauti. Bulance ni universal symbol. Pia ya ambulance niwatu wameamua tu kuihusisha na msalaba ila sio msalaba ule. Pande zote kiurefu ziko sawa na zinakutana katikati. Hapa upande wa juu umesogea sana juu. Mkuu, kama kulikuwa njia ya kuepuka hili wasingeweka huo 'msalaba'. Najua hawakukusidia ila wana ufinyu wa mawazo.
 
Kwakwel mm nimeishia kucheka tu humu mapovu ya kanisa X msikiti.

HIV MNAJUAJE KAMA HIYO NI JEZ YA TAIFA STARS KWA AJIL YA GAME.

HUENDA NI MTU KAJITENGENEZEA KWA AJIL YA KWENDA KUHIJI HUKOO KWA WAKRISTO ISRAEL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?

CC Zero IQ
Binadamu mwenyewe ameumbika kwa muundo wa msalaba. Sasa sijui tuanze kulia kwa kugugumia au tupige yowe la shangwe? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…