kinandinandi
Senior Member
- Apr 3, 2015
- 183
- 142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema tusi mujarabu..Jibu mujarabu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wewe Na wa.jinga wenzako ndio mnakuza hili JamboKiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.
Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.
Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4
Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mambo ya kikafiri unamaanisha nini ila me nafurahia maisha tu
Dini yangu sio lazima uhifahamu, ila natambua neno sio tatizo ila kukifanya kile kinachotakiwa ndani ya hilo neno ndo habari nyingine.we ni muislamu?
kampuni la kamari,au kamari inaruhusiwa kwenye uislam?
Na kwa nini asimkojolee mama yake?Ndo tabia zao ku raise hoja za kipumbavu, nakumbuka nikiwa kidato cha nne kuna dogo alikojolea msaafu maeneno ya mbagala jamaa walihamaki wakaenda polisi wakiomba wapewe uyo dogo wamshughulikie, imagine ! Watu wazima kabisa ! Wakat yule dogo hajui hili wala lile, mkuu they are foolish!
Mjumbe hauwawi mkuu, mimi nimesogeza tu wadau wataliweka sawa kutokana na mtiririko wa mabandiko humu.Wewe Na wa.jinga wenzako ndio mnakuza hili Jambo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wewe na hao mnaobishana nao akili zeno zipo nyuma. Ambulance ina msalaba hawalalamiki, mchezaji akiumia wanaoenda kumbeba wamevaa nguo zenye msalaba tim za ulaya zina msalaba na mnazishabikia hadi kuvaa izo jezi mnavaa na kutambiana leo hii jezi ambayo sio official na haitavaliwa na wachezaji mmeanza kuhaji wajinga nyie. Jezi za tstaz zinatengeneza na UHLSPORT KUWENI NA AKILI VICHWA MAJI NYINYIKiukweli naona nchi yetu imeanza kuwa tofauti na jinsi ilivyokua miaka ya nyuma, yani inafika muda watu wanatafuta pointi ndogo/kubwa kuanzisha taharuki katika jamii.
Nimepita katika mitandao ya kijamii watu wamekasirika na kutuhumu kuwa taifa linagawanywa kidini kwa sababu ya alama ya msalaba iliyo katika jezi ya timu ya taifa.
Kama nchi tumefikia hatua ya kuanza kugawana namna hii? Hii chuki imeanzia wapi maana inafikia watu wanatoa maoni kuwa kesho ni Msalaba 0- Uganda 4
Tanzania inaelekea wapi aisee?
View attachment 1052312
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa ! Au bible.?Na kwa nini asimkojolee mama yake?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hahaha! Mkuu amkojolee mama akeNa kwa nini asimkojolee mama yake?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk[/QUOTE
Wameitengeneza A to Zhiyo jezi haina nembo ya PUMA! ADIDAS! NIKE! REEBOK! NB! Fila! UHP! et al! Ya wapi hiyo?
Wewe mama yako ana elimu ganiHivi uislamu na kukosa elimu ni swa na pete na kidole sio?
Asante kwa kuweka maoni yako..Wewe na hao mnaobishana nao akili zeno zipo nyuma. Ambulance ina msalaba hawalalamiki, mchezaji akiumia wanaoenda kumbeba wamevaa nguo zenye msalaba tim za ulaya zina msalaba na mnazishabikia hadi kuvaa izo jezi mnavaa na kutambiana leo hii jezi ambayo sio official na haitavaliwa na wachezaji mmeanza kuhaji wajinga nyie. Jezi za tstaz zinatengeneza na UHLSPORT KUWENI NA AKILI VICHWA MAJI NYINYI
MOOODS FUTENI IZI MAMBO
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaa kwako mimi au Najua vitu unavyotumia?? hata kama sikai ila nina uhakika 99% hapakosi msalabaUnaweza thibitisha katika hivyo vitu ulivyotaja kuwa vina hizo alama japo kwa picha kujustify bandiko lako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi umekaribia hizi ni tactics za kivita tuMimi na familia yangu tumenunua jezi za Uganda na tutashabikia Uganda kujiepusha na huu uchochezi wa kidini unaofanywa na TFF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vaeni nyie. Shangilieni nyie wavaa misalaba. Na timu yenu ya kanisaNaomba kuuliza iv waislam wana utambua msalaba? sasa kama wewe ni mwislam msalaba una kuhusu nini wewe vaa tishet, msalaba waachie wanao utambuwa wewe haukuhusu, hamna dogo wala kubwa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app