Nashauri magari yote ya Serikali na Taasisi za Umma yapakwe rangi za nembo zao kupunguza ukiritimba

Roho mbaya tu, halafu hiyo rangi itakusaidia nini
 
Matumizi ya Hovyo yapo kwenye magari ya serikali.

Magari mengi ya serikali weekend na nyakati za usiku wanayatumia kwa kazi binafsi,nakumbuka enzi za mkapa gari ya serikali ilikuwa marufuku kuonekana barabarani nje wa muda wa kazi.
 
Ina maana hata rate ya uchakavu inaongezeka, gearbox oil, matairi, uchakavu na hata kubadilishwa vipuli kirahisi sana!
 
PM inabidi asilete masikhara kwenye matumizi mabovu ya serikali ,Ma PDIEM ,Ma warsha ,safari ,Makongamano yasiyo na maana wayaondoe ,mambo ya technology Zoom ,Microsoft Teams ,Skype wazitumie vizuri kufanya mikutano ,TTCL wana Fiber waitumie vizuri.
 
TTCL wakiwekeza vizuri wanawenza kulink ofisi zote kuwasiliana online
 
Gari lako umelibandika majina yako body lote???
 
Kwahyo plate number za serikali sio tishio?[emoji1787][emoji23][emoji28]
 
PM inabidi asilete masikhara kwenye matumizi mabovu ya serikali ,Ma PDIEM ,Ma warsha ,safari ,Makongamano yasiyo na maana wayaondoe ,mambo ya technology Zoom ,Microsoft Teams ,Skype wazitumie vizuri kufanya mikutano ,TTCL wana Fiber waitumie vizuri.
una uchungu eeh kwa vile hipat wwewe? bahat ya wenzo silalie mlango wamzi!! utangatwa na umbwa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…