Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
WIVU KIDONDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya tu, halafu hiyo rangi itakusaidia niniUkiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa;
Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa!
Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama (Polisi,Tanesco, NHC, NSSF n.k)
Na hili lisiishie tu kupaka magari ya SITE na kuacha mashangingi au magari mengine ya mameneja na wakurugenzi pasipo kuwa na rangi za nembo zao!
Maelekezo ya ukamataji magari yasiyo kuwa na nembo wapewe trafiki ili waanze msako wa kukagua kadi za gari feki na dereva atakayekamatwa ahukumiwe kesi ya hujuma.
Hili litasaidia uwajibikaji ili wanainchi waone nani mharibifu wa Mali ya umma, nani anakimbia mbio za hatari barabarani, nani kaenda kulewa muda wa kazi, nani yuko gesti mida ya kazi, nani kabebea mbuzi wake kwenye shangingi la serikali! N.k
Watu wa masijala wahakikishe kila chombo cha moto cha serikali kiwe na rangi za nembo husika ili kuongeza uwajibikaji na kupunguza ukilitimba.
Hili litasaidia mambo kama haya!
1. Madereva wa serikali siku hizi wamebuni mbinu ya kuwa na namba za usajili feki (fake plate number) ambazo hubandika siku za weekend na kutumia gari jambo linalochangia uchakavu wa haraka na kuighalimu serikali kufanya matengenezo
2. Madereva wanapokuwa na hayo magari yasiyo na nembo (waliyoweka feki namba binafsi) ni rahisi sana kuuza au kubadilisha vipuli orijino kwenye gereji bubu na kuitia hasara serikali
3. Matumizi ya mafuta yako juu kwasababu magari yasiyo na nembo yanashawishi mizunguko isiyokuwa ya lazima
4. Magari yasiyo na nembo hayaoneshi uwajibikaji kwa wananchi (hili lipo kisaikolojia zaidi)
Nasema hivi kwasababu nimeshuhudia mashangingi kadhaa ya serikali STL au DFPA lakini wakifika mtaani wanabandika namba binafsi mfano DZA!
Kwahiyo mtu kama huyu akiuza kipuli gereji yoyote hakuna atakaye mshitukia!
Kwa wewe kama dereva inakuathili nini mkuuRoho mbaya tu, halafu hiyo rangi itakusaidia nini
Ina maana hata rate ya uchakavu inaongezeka, gearbox oil, matairi, uchakavu na hata kubadilishwa vipuli kirahisi sana!Matumizi ya Hovyo yapo kwenye magari ya serikali.
Magari mengi ya serikali weekend na nyakati za usiku wanayatumia kwa kazi binafsi,nakumbuka enzi za mkapa gari ya serikali ilikuwa marufuku kuonekana barabarani nje wa muda wa kazi.
Ina maana hata rate ya uchakavu inaongezeka, gearbox oil, matairi, uchakavu na hata kubadilishwa vipuli kirahisi sana!
Hadi private car mzeeKuna kipindi fulani kama sijasahau enzi za J,Nyerere ilikua siku za weekend kama Jumapili hivi ni marufuku gari za serikali kuonekana Barabarani,anayekumbuka zaidi hii issue atujuze zaidi.
TTCL wakiwekeza vizuri wanawenza kulink ofisi zote kuwasiliana onlinePM inabidi asilete masikhara kwenye matumizi mabovu ya serikali ,Ma PDIEM ,Ma warsha ,safari ,Makongamano yasiyo na maana wayaondoe ,mambo ya technology Zoom ,Microsoft Teams ,Skype wazitumie vizuri kufanya mikutano ,TTCL wana Fiber waitumie vizuri.
Gari lako umelibandika majina yako body lote???Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa;
Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa!
Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama (Polisi,Tanesco, NHC, NSSF n.k)
Na hili lisiishie tu kupaka magari ya SITE na kuacha mashangingi au magari mengine ya mameneja na wakurugenzi pasipo kuwa na rangi za nembo zao!
Maelekezo ya ukamataji magari yasiyo kuwa na nembo wapewe trafiki ili waanze msako wa kukagua kadi za gari feki na dereva atakayekamatwa ahukumiwe kesi ya hujuma.
Hili litasaidia uwajibikaji ili wanainchi waone nani mharibifu wa Mali ya umma, nani anakimbia mbio za hatari barabarani, nani kaenda kulewa muda wa kazi, nani yuko gesti mida ya kazi, nani kabebea mbuzi wake kwenye shangingi la serikali! N.k
Watu wa masijala wahakikishe kila chombo cha moto cha serikali kiwe na rangi za nembo husika ili kuongeza uwajibikaji na kupunguza ukilitimba.
Hili litasaidia mambo kama haya!
1. Madereva wa serikali siku hizi wamebuni mbinu ya kuwa na namba za usajili feki (fake plate number) ambazo hubandika siku za weekend na kutumia gari jambo linalochangia uchakavu wa haraka na kuighalimu serikali kufanya matengenezo
2. Madereva wanapokuwa na hayo magari yasiyo na nembo (waliyoweka feki namba binafsi) ni rahisi sana kuuza au kubadilisha vipuli orijino kwenye gereji bubu na kuitia hasara serikali
3. Matumizi ya mafuta yako juu kwasababu magari yasiyo na nembo yanashawishi mizunguko isiyokuwa ya lazima
4. Magari yasiyo na nembo hayaoneshi uwajibikaji kwa wananchi (hili lipo kisaikolojia zaidi)
Nasema hivi kwasababu nimeshuhudia mashangingi kadhaa ya serikali STL au DFPA lakini wakifika mtaani wanabandika namba binafsi mfano DZA!
Kwahiyo mtu kama huyu akiuza kipuli gereji yoyote hakuna atakaye mshitukia!
Kwahyo plate number za serikali sio tishio?[emoji1787][emoji23][emoji28]unaku na ukuda.hujafikiria suala la usalama. kaz hizi muda mwingine zimahitaji kutotambulika hv nikupe mfano we unafikr gar flan ikujulikana huona kama inahatarisha usalama wa wafanyakaz
unafikir watu wote wanapenda maamuz ya taasisi mbalimbal.hujafikria vizur labda kwa vile haupo huko
una uchungu eeh kwa vile hipat wwewe? bahat ya wenzo silalie mlango wamzi!! utangatwa na umbwaPM inabidi asilete masikhara kwenye matumizi mabovu ya serikali ,Ma PDIEM ,Ma warsha ,safari ,Makongamano yasiyo na maana wayaondoe ,mambo ya technology Zoom ,Microsoft Teams ,Skype wazitumie vizuri kufanya mikutano ,TTCL wana Fiber waitumie vizuri.
UshauriUnaipangia serikali cha kufanya
Kwann mkuuNawe Mleta Thread Umekuwa Kama Tulia, Hilo Haliwezekani Kamwe
Hata madaladala tangu walivyobuni kuyapaka TLB MKANDA wa rangi huko barbarani kulitulia fujoNawe Mleta Thread Umekuwa Kama Tulia, Hilo Haliwezekani Kamwe
Tatizo Kuna Wana wanakula maisha mpaka yasiyo Yao.Acha roho mbaya! Watu watakulaje maisha
Tena kwa njia haramuTatizo Kuna Wana wanakula maisha mpaka yasiyo Yao.