Nashauri magari yote ya Serikali na Taasisi za Umma yapakwe rangi za nembo zao kupunguza ukiritimba

Unamjua kiumbe anayeitwa binadamu aliyepewa mamlaka ya kutawala vyote na mazingira yake?
Huwezi kuzuia wizi asilimia 100 lakini hutakiwi kuruhusu mianya ya wizi kuwa mikubwa!
Leo hii dreva anaweza kuondoka na gari la serikali kutoka dar hadi bukoba na kurudi na serikali hata isijue!
Wakiyapaka rangi na monitoring zingine itapunguza!
 
Acha ghilba, wewe utanufaikaje Kwa wao kukosa V8?
 
Kuna kipindi mwanangu alikua na haya ma prado ya wakurungenzi basi ikifika jioni inatolewa dfpa inawekwa T...CLS alafu tunavimba mjini tumevaa smart mixer jamaa kuniita boss kila mara alooo tuliokota sana toto za uhasibu pale liquid na masai,kigamboni ndio usiseme
 
Pole
 
wabadili rangi kama gari za shule na wao wachague rangi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…