Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna connection imevuja gari LA serikali vijana wanafanyia ngono! Yapakwe rangi za nembo zao harafu tinted yasiwekwe serikali yetu ni ya uwazi kwann kujificha ndo maana hata yanatumika kwa magendoWazo zuri sana
Maana wengine wanazitumia kubebea
Madem zao tu
Ova
Wazo zuri lakini vipi Kama mhusika was wizara atakuwa nikilitimba?Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa;
Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa!
Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama (Polisi,Tanesco, NHC, NSSF n.k)
Na hili lisiishie tu kupaka magari ya SITE na kuacha mashangingi au magari mengine ya mameneja na wakurugenzi pasipo kuwa na rangi za nembo zao!
Maelekezo ya ukamataji magari yasiyo kuwa na nembo wapewe trafiki ili waanze msako wa kukagua kadi za gari feki na dereva atakayekamatwa ahukumiwe kesi ya hujuma.
Hili litasaidia uwajibikaji ili wanainchi waone nani mharibifu wa Mali ya umma, nani anakimbia mbio za hatari barabarani, nani kaenda kulewa muda wa kazi, nani yuko gesti mida ya kazi, nani kabebea mbuzi wake kwenye shangingi la serikali! N.k
Watu wa masijala wahakikishe kila chombo cha moto cha serikali kiwe na rangi za nembo husika ili kuongeza uwajibikaji na kupunguza ukilitimba.
Hili litasaidia mambo kama haya!
1. Madereva wa serikali siku hizi wamebuni mbinu ya kuwa na namba za usajili feki (fake plate number) ambazo hubandika siku za weekend na kutumia gari jambo linalochangia uchakavu wa haraka na kuighalimu serikali kufanya matengenezo
2. Madereva wanapokuwa na hayo magari yasiyo na nembo (waliyoweka feki namba binafsi) ni rahisi sana kuuza au kubadilisha vipuli orijino kwenye gereji bubu na kuitia hasara serikali
3. Matumizi ya mafuta yako juu kwasababu magari yasiyo na nembo yanashawishi mizunguko isiyokuwa ya lazima
4. Magari yasiyo na nembo hayaoneshi uwajibikaji kwa wananchi (hili lipo kisaikolojia zaidi)
Nasema hivi kwasababu nimeshuhudia mashangingi kadhaa ya serikali STL au DFPA lakini wakifika mtaani wanabandika namba binafsi mfano DZA!
Kwahiyo mtu kama huyu akiuza kipuli gereji yoyote hakuna atakaye mshitukia!
Updates
Duh!Ntupie pm chiefKuna connection imevuja gari LA serikali vijana wanafanyia ngono! Yapakwe rangi za nembo zao harafu tinted yasiwekwe serikali yetu ni ya uwazi kwann kujificha ndo maana hata yanatumika kwa magendo
Kivipi mkuuWazo zuri lakini vipi Kama mhusika was wizara atakuwa nikilitimba?
Inagoma chiefDuh!Ntupie pm chief
Ova
Wanasema akitoka akute haijapoa ubaridi! Mi zaman nilizani magari ya serikali hayatumii mafuta ya kawaida kama wengineHivi dhumuni la kuacha gari on wa kiongozi yupo mkutanoni hua ni nini? Nisaidiwe
Mashirika ya dini yalianza hili zamani kidogo, na utaratibu uliwekwa na serikali. Sasa ni wakati wa wao kufuata utaratibu walioweka kwa mashirika/taasisi za kidini.Magari ya Seikali na Mashirika au wakala yanapaswa kuwekwa nembo ubavuni mlangoni ili yafahamike. Dawa ni hiyo tu.
Sijui kinachowashinda nn hawa viongozi wetuMashirika ya dini yalianza hili zamani kidogo, na utaratibu uliwekwa na serikali. Sasa ni wakati wa wao kufuata utaratibu walioweka kwa mashirika/taasisi za kidini.
Kupoa ubaridi inaathiri nn hapoWanasema akitoka akute haijapoa ubaridi! Mi zaman nilizani magari ya serikali hayatumii mafuta ya kawaida kama wengine
AcKupoa ubaridi inaathiri nn hapo
Kuna naibu waziri nasikia kapiga mzinga na gari la serikali usiku akiwa na mchepukoInagoma chief
Hayo magari wanayatumia tu kupora madem zetu [emoji1]Kuna naibu waziri nasikia kapiga mzinga na gari la serikali usiku akiwa na mchepuko
Hapo hujazungumzia yanavyoibiwa vipuri kwa kubadirishwa kwenye gereji bubuHayo magari wanayatumia tu kupora madem zetu [emoji1]
Ova
Kwani alikuwa dereva wa huyo kiongozi au yeye alikuwa anamfukuza kibaka mla vya wenzie !!??Habari zilizotufikia mme wa yule mwanamke aliyekuwa anamfukuzia kiongozi kakamatwa kwa uchunguzi wa ajali
Wanasema huenda alimsababishia ajaliKwani alikuwa dereva wa huyo kiongozi au yeye alikuwa anamfukuza kibaka mla vya wenzie !!??