Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu.

Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa.

Upo uwezekano mkubwa zaidi kwa wapiga kuru hususani wa chama chake wakaepuka kumpigia kura endapo atagombea uongozi, kwasababu ya hali yake.

Watamuonea huruma na kujali utu wake dhidi ya majukumu mazito ya kitaifa anayotamani kuyabebe. Ni dhahiri ni ngumu, japo anajikaza sana ili walau aonekane yuko fiti, Lakini ukweli ni kwamba utimamu wa mwili unatia huruma sana na mashaka makubwa. Huenda ameshauriwa hata na wanaomsaidia kitaalamu kiafya, ila karma ya ubishi, tamaa, ufahari na ubinafsi inamzonga, anakaidi.

Ukifuatilia aina ya siasa zake, kiongozi huyo muandamizi ana malalamiko binafsi mengi zaidi, ya malalamiko ya wananchi. Amebaki na ujasiri wa kulaumu na kuwabeza na kukejeli viongozi waandamizi wa serikali tu maskini dah..

Ana simulizi nyingi mno, za mambo mengi sana humu nchini, ambazo angetamani kuwasimulia wananchi walau kupoteza muda. Hana mawazo mapya tena, wala fikra mbdala, za malalamiko yake binafsi, wala yale ya wananchi ya sasa. Kwakweli ni mjuzi na mahiri wa simulizi zenye kuibua hisia kali, lakini zisizobadili wala kutikisa mitazamo au uelekeo wa wananchi kisiasa, kijamii au kiuchumi.

Ana hasira mno moyoni, ana chuki na uhasama binafsi dhidi ya viongozi waandamizi serikalini lakini pia na viongozi wa kisiasa wa vyama vingine, jambo ambalo linamtesa na kudhoofisha zaidi uimara na utimamu wake wa jumla.

Amechoka sana kisiasa. Dhamira na uzalendo wake kwa Taifa unaibua mashaka makubwa mno. Ni tegemezi, anaetegemezwa na mabwenyenye ya ng"ambo. Na huenda hilo likawafanya wapinzani wenye nia ya kuunganisha nguvu, wakasita kufanya hivyo kwasababu ya hilo, ikiwa muungwana atang"ang"ania kupewa nafasi ya kubeba bendera ya upinzani kwenye chaguzi zijazo.

Aliwahi kueleza mwenywe bayana kwamba, kiwango cha madawa anachotumia kwa siku kujiimarisha, ili awe fiti ni kikubwa mno na hawezi kueleza zaidi. Hii inatia huruma sana, inatafakarisha mno na fikirisha sana.

Hivi chadema hamna huruma, au Yeye muungwana ndie hajionei huruma? Hakuna watu wengine mahiri wa kubeba jukumu hilo muhimu?

Binafsi namuonea huruma sana huyu muungwana, vipi wewe ndugu mdau?

au mnabuy time tu ili baadae kwa wakati muafaka, mumtose kama wengine huko nyuma kulingana na historia?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
au mnabuy time tu ili baadae kwa wakati muafaka, mumtose kama wengine huko nyuma kulingana na historia ?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Na wewe afya yako ikoje? Ni imara au ni ya kuunga unga na kuteteleka?
Mulika zaidi afya yako kuliko za wengine.
Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke…Na jihurumie zaidi wewe na afya yako kuliko mtu mwingine Ndugu yangu… ni ushauri wa bure tu.
 
Mpumzisheni huyu shangazi yenu kwanza!
 
Na wewe afya yako ikoje? Ni imara au ni ya kuunga unga na kuteteleka?
Mulika zaidi afya yako kuliko za wengine.
Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke…Na jihurumie zaidi wewe na afya yako kuliko mtu mwingine Ndugu yangu… ni ushauri wa bure tu.
Huyo unayemuonea huruma na kumuona kachoka, ndiye Mungu atampa ujasiri wa kuwa imara zaidi na kutuongoza.

Mungu ni mtenda miujiza!

Hivi Yuko wapi yule aliyepanga njama za kumwondoa hapa duniani huyo Makamu Mwenyekiti??

Si ndiyo katangulia yeye kwenda kuudongo na huyo aliyemiminiwa risasi 16, bado anaendelea kudunda🙏
 
Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu.

Upo uwezekano mkubwa zaidi kwa wapiga kuru hususani wa chama chake wakaepuka kumpigia kura endapo atagombea uongozi, kwasababu ya hali yake.

Watamuonea huruma na kujali utu wake dhidi ya majukumu mazito ya kitaifa anayotamani kuyabebe. Ni dhahiri ni ngumu, japo anajikaza sana ili walau aonekane yuko fiti, Lakini ukweli ni kwamba utimamu wa mwili unatia huruma sana na mashaka makubwa. Huenda ameshauriwa hata na wanaomsaidia kitaalamu kiafya, ila karma ya ubishi, tamaa, ufahari na ubinafsi inamzonga, anakaidi.

Ukifuatilia aina ya siasa zake, kiongozi huyo muandamizi ana malalamiko binafsi mengi zaidi, ya malalamiko ya wananchi. Amebaki na ujasiri wa kulaumu na kuwabeza na kukejeli viongozi waandamizi wa serikali tu maskini dah..

Ana simulizi nyingi mno, za mambo mengi sana humu nchini, ambazo angetamani kuwasimulia wananchi walau kupoteza muda. Hana mawazo mapya tena, wala fikra mbdala, za malalamiko yake binafsi, wala yale ya wananchi ya sasa. Kwakweli ni mjuzi na mahiri wa simulizi zenye kuibua hisia kali, lakini zisizobadili wala kutikisa mitazamo au uelekeo wa wananchi kisiasa, kijamii au kiuchumi.

Ana hasira mno moyoni, ana chuki na uhasama binafsi dhidi ya viongozi waandamizi serikalini lakini pia na viongozi wa kisiasa wa vyama vingine, jambo ambalo linamtesa na kudhoofisha zaidi uimara na utimamu wake wa jumla.

Amechoka sana kisiasa. Dhamira na uzalendo wake kwa Taifa unaibua mashaka makubwa mno. Ni tegemezi, anaetegemezwa na mabwenyenye ya ng"ambo. Na huenda hilo likawafanya wapinzani wenye nia ya kuunganisha nguvu, wakasita kufanya hivyo kwasababu ya hilo, ikiwa muungwana atang"ang"ania kupewa nafasi ya kubeba bendera ya upinzani kwenye chaguzi zijazo.

Aliwahi kueleza mwenywe bayana kwamba, kiwango cha madawa anachotumia kwa siku kujiimarisha, ili awe fiti ni kikubwa mno na hawezi kueleza zaidi. Hii inatia huruma sana, inatafakarisha mno na fikirisha sana.

Hivi chadema hamna huruma, au Yeye muungwana ndie hajionei huruma? Hakuna watu wengine mahiri wa kubeba jukumu hilo muhimu?

Binafsi namuonea huruma sana huyu muungwana, vipi wewe ndugu mdau?

au mnabuy time tu ili baadae kwa wakati muafaka, mumtose kama wengine huko nyuma kulingana na historia ?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwanini unapenda kuona upinzani dhaifu?
 
Ulishawahi kunyanyasika kiasi Cha kutengwa?

Mamlaka zimlipe mamlaka zimlipe madai yake yote, zimuombe msamaha Kisha wakubaliane kuheshimiana na kunyanaza kwa yaliyopita. Option two wadili nae tena
Yes,
nimewahi kunyanyasika kwa namna yangu, si jambo zuri, inaumiza sana.

Nadhani huruma yangu ni katika uwezo wake kwenye medani za kisiasa. Ushuhuda wake baada ya kukamatwa mbeya ulinizidishia hofu yangu nadhani hata wengine zaidi zaidi, dhidi ya utimamu wake katika kazi na majukumu mazito ya kisiasa..
Nahisi maandamano aloshiriki mwezi March kule Mwanza na Mbeya kwa kiasi yalitikisa physical ability yake kwa kiasi..

hata hivyo,
hayo mengine ya binafsi uliyoshauri, nadhani wahusika wanaweza kuyatolea maelezo vizuri zaidi 🐒
 
Japo sijaisoma yote lakini Muite Simba bana mama yako kashasema! we ni nani usitaje jina lake kamili tlalalalala. Kwa simba kila chawa atapiga goti ujue!
Nimejiskia huruma na ninaona aibu nikimuona jukwaani akijaribu kuonyesha ujasiri lakini kwa tabu sana gentleman? Kwan huoni hilo kamanda? 🐒
 
Jiwe alipiga pushups kwenye majukwaa leo hii yupo wapo boss? Mbona hukumuonea huruma? Usichezee huruma yako kwa wasiokuhusu, itakuwa matumizi mabaya sana ya huruma
 
Mlijaribu kumwua sisimiz amegeuka kuwa tembo mnamwonea huruma.lini mchawi mla nyama kawa na huruma.tukutane london
Nadhani ni muhimu akapambana na mambo yake binafsi. Anao watu kumsaidia, kulingana na hali yake na uwezo wake, mpaka wa huko ng"ambo nao wanamuonea huruma na wanamsaidia kwenye mambo yake binafsi...

lakini ndrugu zangu,
masuala ya jumla kuanzia kwenye chama chake, tafadhalini ndrugu zangu tumuonee huruma muungwana, apumzike tu..

hakuna haja kumpamba mtu ambae dhahiri anaonekana dhaifu asie weza kubeba majukumu mazito ya kisiasa 🐒
 
Na wewe afya yako ikoje? Ni imara au ni ya kuunga unga na kuteteleka?
Mulika zaidi afya yako kuliko za wengine.
Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke…Na jihurumie zaidi wewe na afya yako kuliko mtu mwingine Ndugu yangu… ni ushauri wa bure tu.
sifahamu ikiwa ana Tatizo la kiafya gentleman..

huruma yangu ni katika utimamu wa mwili wake ambapo alieleza mwenyewe jinsi ambavyo umebeba vitu gani ili awe fiti..

ingalikua sijihurumii, basi nisengemuhurumia pia muungwana.
gentleman, kiongozi anatia huruma, anafanya kazi kwa kujilazimisha sana...

Ifikie mahali hata chama chake kuchukua hatua na maamuzi magumu kwa ustawi wa chama hicho huko mbeleni 🐒
 
Asante Kwa kujibu kiungwana…
 
Back
Top Bottom