Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

hayo yote ni sawa gentleman,

but binafsi nimeamua kujitenga na unafiki wa wengine, kumpamba muungwana eti anaweza hali ya kua anatia huruma tu..

Nashauri chama kimshauri hivyo, na kisimuache hivi hivi, kimsaidie yale machache binafsi ili angalau asaidike kadiri inavyofaa πŸ’
 
Hivi umepata usingizi usiku wa kuamkia leo au ulikuwa unamuota ndotoni?

Kunywa Mo energy labda utazinduka!
 
I can confirm to you without fear of contradictions, wanachama wa Chadema wengi wanamuhurumia zaidi yangu huyo muungwana,

Na wengi wanaweza wasijitokeze kupiga kura au hata watakao jitokeza wasimpigie kwasabb tu wanamuonea huruma na hawangependelea kumpa majukumu mazito mtu ambae ni dhahiri hata kujihudumia mwenyewe tu ni tabu..

so,
akiachwa atakiathiri chama chake mwenyewe, kura za huruma alizokua akizipata awali zimebadilika hivi sasa πŸ’
 

Kumbe unapiga za mbali kiongozi? Mashaka yako ni kura za mama yenu, nishakusoma sasa? Si mlishasema mmemaliza mchakato?

Hebu tukumbushane...
 

Attachments

  • 5770917-12f2f23d25bbe7fc3516e11af8120993.mp4
    15.1 MB
  • 5811319-c90487a0a3c9f670172c401e803cbac6.mp4
    3.5 MB
Maisha yake hayalingani na wewe kabisa. Anajua anachofanya na faida yake. Nilini waliwahi kutangaza wewe uchangiwe hata bajaji
 
kwamba 80% ya simulizi zake zenye hisia sana kwenye mikutano yake ya kisiasa anazungumzia zaidi madai yake binafsi na tukio la kupigwa kwake risasi, right?🀣

halafu 20% ndio anaweza kuitumia kuibeza serikali kidogo huku sera za Chama chake hazizungumii kabisa, right?

Ntafatilia kwa karibu zaidi ili kujiridhisha..

But all in all binafsi namuonea huruma sana muungwana, kwa jinsi anavyo jiforce kufanya mambo ya siasa πŸ’
 
Mbona Magu alipigiwa na ana betri mwilini? Au anaenda Ikulu kuinua vyuma? Chawa wa ccm akili.. .
 
gentleman,
sidhani kama ulemavu unaweza kua kikwazo katika kufanya au kushiriki kazi, wajibu na uongozi wa kisiasa..

nadhani utimamu ndio hasa kinachonitia huruma mimi na waTanzania wengine wazalendo kwamba kwa alivyo, muungwana hakuna awezalo kwenye siasa..

kumpatia fursa ni kumpatia mzigo mzito asio uweza kuubeba lakini pia kama chama kujibebesha kisichobebeka..

ni ngumu hata kumnadi ukaelewe kwa jamii eti huyu inafaa apatiwe wajibu fulani wa uongozi kwenye chama au kweingineko πŸ’
 

Timamu wenu yuko wapi leo aliyekufuru hadi kujiita jiwe? Kwa hiyo mama yenu ana uwezo wa kubeba mizigo mizito zaidi ya Simba?
 
Hivi umepata usingizi usiku wa kuamkia leo au ulikuwa unamuota ndotoni?

Kunywa Mo energy labda utazinduka!
walau uwe unakunywa maji gentleman, sio hivyo ambavyo unakunywa, ni hatari sana kwa afya yako gentleman..

hata hivyo,
zingatia kula vizuri, kulala vizuri na kupumzisha mwili wako na itapendeza zaidi πŸ’
 
Kumbe unapiga za mbali kiongozi? Mashaka yako ni kura za mama yenu, nishakusoma sasa? Si mlishasema mmemaliza mchakato?

Hebu tukumbushane...
Tuache unafiki gentleman, tuwe na utu, muungwana anatia huruma, apumzike tu πŸ’
 
Tuache unafiki gentleman, tuwe na utu, muungwana anatia huruma, apumzike tu πŸ’

Tuache unafiki, pumzi uliyonayo isikupe jeuri ya kudhalilisha watu na kujiona una haki ya maisha sana, inaweza kupigwa switch off leo hii tukakusahau JF, acha watu wafanye mission zao walizotumwa na Mungu. Anayejua hatma ya binadamu including yako sio wewe! Acheni kukufuru, mlimtukana Lowassa sana mkiamini mna jiwe, matokeo yake likawa vumbi likamuacha anadunda na mabilioni lililoficha huko duniani, wazungu wanakula tu sasa hivi likayaacha jiwe.
 
Mkuu toa boriti ilipo kwenye jicho lako kabla ya kufikiri kutoa lilipo kwa mwenzio.

Mkuu ni miezi 3 sasa, jazeni nafasi ya makamu Mwenyekiti wa chama tawala kwanza, ndio udandie kwa wengine!!

Halafu Tlaatlaah, Pili pili usiyoila yakuwashia nini!!! Ama kweli Nyani haoni kundule!!!
 
Maisha yake hayalingani na wewe kabisa. Anajua anachofanya na faida yake. Nilini waliwahi kutangaza wewe uchangiwe hata bajaji
gentleman,
suala hapa sio kulinganisha maisha wala majina vitu ambavyo kamwe haviwezi kulingana..

Ndiyo,
anafanya mambo mengi sana kwa faida yake binafsi. Anaomba kuchangiwa mara kwa mara kwa manufaa na faida yake binafsi, na kwa hali aliyonayo, akikuomba chochote kitu ili kimsaidie maishani utamnyima kwenye gentleman?

Lazima utajawa huruma ikiwa una utu.

So,
Mie nadhani apumzike tu, ikiwa mambo yamemuwia magumu basi ajitokeze aombe na waTanzania ni wangwana na wenye huruma sana watamchangia..

Lakini kubeba dhamana ya chama na nje ya chama ni muhimu akakaa kando tu na mtu mwingine chadema apewe fursa hiyo muhimu πŸ’
 
Mbona Magu alipigiwa na ana betri mwilini? Au anaenda Ikulu kuinua vyuma? Chawa wa ccm akili.. .
Mengine sifahamu,
Lakini nadhani ni muhimu kuzingatia ustawi na mustakabali wa Chadema wa siku zijazo,

Busara na hekima ziwafanye chadema kuchukua hatua muhimu stahiki za kumuweka mungwana kando, ili hatimae awe na muda mzuri na wa kutosha walau kupambania madai na mahitaji yake kwa back up ya mabwenyenye ya magharibi,

kuliko kumbeba kinafiki, huku wakijua wazi kwamba hana uwezo wa kuchochea au kuleta mabadiliko ya kisiasa zaidi ya kukididimiza chama tu πŸ’
 
Hadi ndugu yako Mwashambwa kakuambia hujafa hujaumbika kaka. Tazama andiko lako mara mbili mbili.
sasa hiyo inamaanisha nini gentleman kwenye hoja mahususi mezani? kwa wakati wake muumba kila moja atarejea kwa Maulana bila mbambamba yoyote..

hata hivyo,
ni muhimu zaidi, wewe binafsi ndio usome na uelewa vizuri hoja , huna haja ya kubabaika na maoni na mitazamo ya wengine πŸ’
 
Timamu wenu yuko wapi leo aliyekufuru hadi kujiita jiwe? Kwa hiyo mama yenu ana uwezo wa kubeba mizigo mizito zaidi ya Simba?
hebu elezea vizur kwa utulivu na kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau gentleman πŸ’
 
Tila lila una matatizo ya akili sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…