Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

hebu elezea vizur kwa utulivu na kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau gentleman πŸ’

Hujaona ni swali hilo? Umesema kumpatia fursa Simba "ni kumpatia mzigo mzito asio uweza kuubeba lakini pia kama chama kujibebesha kisichobebeka"..

Nani sasa anayetakiwa kuelezea?
 
sasa gentleman,
suala la pumzi au haki ya maisha limetoka wapi tena kwa mfano, kwenye hoja hii muhimu na ya wazi sana humu jukwaani?

au kufuru imetokea upande gani mathalan gentleman? umekunywa chai kwanza?🀣

naona kama umekurupuka sijui kutoka wapi aise...

Hata hivyo,
Huruma yangu na ya wananchi wengine kwa muungwana Muweza wa yote anaiona..

Na unafiki wa kumpamba asie na uwezo eti anaweza, vilevile Muweze wa yote anaona..

Makamu mwenyekiti wa Chadema anafaa kujionea huruma mwenyewe lakini pia wengi wanamuonea huruma zaid. Awe muungwana akae kando, apumzike tu masuala ya kisiasa πŸ’
 

Kunywa chai tena kiongozi, sipo kwenye level ya basic needs kaka! Habari ya kufikiria tumbo nilimaliza miaka 30 iliyopita! Kwa ufupi sina njaa, na wala sio chawa wa yoyote na sina chama pia nipo hapa kujibu hoja tu hapa na kutoa mawazo yangu, baaaasi!
 
Gentleman,
sihusiki na masuala ya maboriti, pilipili ya shamba, wala nyani pori humu jukwaani hata kidogo..

nahusika na kutoa maoni, mtazamo, mawazo mapya na fikra mbdala dhidi ya hali halisi ndani ya vyama vya siasa kwa mustakabali mwema wa ustawi wao..

Najali utu wa wengine na ndio maana nimejawa na huruma hata kufikia hatua ya kuwajibika kutoa ushauri muafaka kwa mustakabali mwema wa ninae mpatia ushauri, lakini pia ustawi wa Taasisi aliyoko na si vinginevyo πŸ’
 
Mkuu maana yangu ya boriti ni kuwa usisemee kilema cha mwenzio!

Nikimaanisha changamoto yako na mwenzi wako umeimaliza??? tusijekuta tunahaingaika na stress za chumbani kwako!!!

Kamalizane kwanza na mwenzi wako ndio uje kushauri watu wengine!!!
 
relax sasa gentleman,

Na utoe mawazo mapya na fikra mbdala za nguvu zaidi dhidi ya hoja mahususi mbalimbali na nzito nzito zinazotolewa mezani na wadau kwa utulivu zaidi

Hata na hivyo nimejawa huruma kuhusu siasa za muungwana dah! πŸ’
 
Sawa mkuu wewe una guarantee na afya yako kwa 100% mpaka unawaza afya za wenzio.
 
Mkuu maana yangu ya boriti ni kuwa usisemee kilema cha mwenzio!

Nikimaanisha changamoto yako na mwenzi wako umeimaliza, tusijekuta tunahaingaika na stress za chumbani kwako!!!

Kamalizane kwanza na mwenzi wako ndio uje kushauri watu wengine!!!
umesoma vyema hoja mahususi mezani lakini au umekurupuka tu na ukaamua kutembea na choraus tu hapo juu?

hakuna mahali nimezungumzia kilema wa aina yoyote kwenye bandiko langu kwasabb si muhimu hata kidogo, na sina haja kufanya hivyo kwasabb haina maana yoyote...

Hata hivyo hili ni jukwaa huru sio la stress gentleman..

kwasabb ya utu wangu kwa wengine nimejikita najawa huruma sana kwa muungwana kujilazimisha na kujibebesha vitu ambavyo ukitazama kibinadamu vinamuelemea sana.

Nashauri apumzike tu πŸ’
 
ccm imekata pumzi
 
Umenena vema Tlaatlaah, naamini CHADEMA ina succession plan nzuri na vijana wenye utayari wa kuendeleza maono ya chama. Kiongozi anaweza kubaki kama mshauri.
 
mdogo wake hamza unajulikana vizuri hunaga huruma kama hamza tu kaka yako uliembandika kama avatar yako. Katili sana wew gentleman πŸ’

ugali ndio unamfanya muungwana akomae jukwaani hata kama hawezi, right?
Hamza hakuwa gaidi Kama mlivuompaka rangi ninyi akina Mafwele.

Ugali umeleta matatizo kuzidi shibe. Ugali ukizidi ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…