Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

Kama alivyofanya huyu πŸ‘‡πŸΎ

 
Yes,
bora nusu shari kuliko shari kamili πŸ’
 
Mkundu wako unawasha mpelekee P Didy aukune ni maoni tu kama uliyoyatoa hapo juu.
 
Pale poyoyo la ccm linaposhauri upinzani.
 
Ulishawahi kunyanyasika kiasi Cha kutengwa?


Mamlaka zimlipe mamlaka zimlipe madai yake yote, zimuombe msamaha Kisha wakubaliane kuheshimiana na kunyanaza kwa yaliyopita. Option two wadili nae tena
Baada ya kushindwa kumuua na kumpa rushwa anyamaze sasa mnataka ajiuzulu? Komaeni hivyo hivyo na spana zake
 
Tuache unafiki gentleman, tuwe na utu, muungwana anatia huruma, apumzike tu πŸ’
Apumzike na nani nenda home kwake mkapumzike wote huenda akakubali na kukuelewa.
Maana penzi ni kitovu cha uzembe.!!
 
Baada ya kushindwa kumuua na kumpa rushwa anyamaze sasa mnataka ajiuzulu? Komaeni hivyo hivyo na spana zake
anavyotia huruma vile, anaeleweka kweli gentleman au unajilazimisha kumuelewa kama anavyojilazimsha yeye kuonekana yuko fiti?πŸ’
 
Subiri tulia bi macho mlegejo ale za kinena! stupid! 2025 hatoki mtu!
 
Ulishawahi kunyanyasika kiasi Cha kutengwa?


Mamlaka zimlipe mamlaka zimlipe madai yake yote, zimuombe msamaha Kisha wakubaliane kuheshimiana na kunyanaza kwa yaliyopita. Option two wadili nae tena
Mamlaka zimlipe kivipi wakati mwenyewe alikataa kutoa ushirikiano wa upelelezi. Anataka kauli yake ya nani aliyemtendea hivyo ndio iwe hukumu? Ni mwanasheria wa aina gani huyu. Serikali ukweli haina jukumu lolote kisheria kwa yaliyomkuta huyo mtu.
 
Yaani inasikitisha, kama vile umbea, kama vile masengenyo au chuki ilochangnyka na uchawa! Makala nzima! Kama vile una muonea huruma lkn inakuaje pale adui yako anapokushauri -eti kwa manufaa yako! eti ufanikiwe, eti kwa huruma, eti kw afya yko badala ya kukutakia shida, mabaya, kifo ...nk. tena kw kujitangaza! makala ndeefu ...nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…