Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ww ndio ulikaa kimya, sisi dhalimu tumeanza kumpa ukweli wake toka alipoingia madarakani 2015.Magu alikua na mpaka helkopiter zinamfata juu na mlikaa kimya
Ulinzi wake ulikua kwa ajili ya wasiofurahishwa na aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya Taifa.Kwahiyo Magufuli alikuwa anakwepa kukaa karibu na raia maana hajafanya kitu?
Huyo siyo mmiliki wa saccos ni rais wa nchi.Bila hata Waganga ?
Sasa mbwembwe za chama tawala unataka wazipigie Lumumba? Kinachoonekana sasa hakikuwahi kufanyika hata wakati wa ukoloni, gavana alitembea huru bila kulindwa na mabunduki na makombora ya kwenye helikopta, kura zetu zimetujengea uadui na tuliowachagua.Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope
Yaani tumepitiliza. Kuanzia ya eti wanausalama kukaa nyuma ya rais. Mpaka polisi, jeshi, magereza, waziri mkuu na spika, mpaka vyama vya upinzani!😅😂🤣. Vituko mpaka unahisi kweli yawezekana wabongo wana IQ ndogo sana. Ndiyo! Tunajali upuuzi kama huo wakati kuna ya maana ya kufanya. Bado miundombinu hovyo, huduma za afya, ustawi wa jamii, elimu, uwajibikaji nk.Sisi tuna mbwembwe nyingi sana na ushamba mwingi tu.
CCM ukiwaambia Kuna wakuu wa nchi wanakwenda ofisini na baiskeli watasema ni uzushi. Ukimwambia Idugunde kwamba Angela wa ujerumani alikua anakaa kwenye flat na wapangaji wenzake na alikua anapika chakula chake na kufua nguo zake atasema ni propaganda ya TLP ya MremaNimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope
Rais akiwa ugenini,nchi mwenyeji hubeba dhamana ya ulinzi,usione hakuna watu ukadhani hakuna ulinzi,angalia msafara wa Waziri mkuu wa uingereza..hutoona walinzi,si kwamba hawapoUkiona mazingira anayokuwa nayo Rais wetu akiwa nje ambako hana kura hata moja, na haya yanayofanyika akiwa hapa wanaposema wameshinda uchaguzi kwa kishindo ni aibu ya mwaka. Hapo ndio utagundua hakuna ulinzi wowote, bali msafara wa rais ni sehemu ya upigaji wa wazi. Hata wazungu wanapoona kinachofanyika kwenye ziara zake hapa nchini na akiwa nje, si bure wazungu wanatuita manyani.
Wewe ndio muongo.Wacha UONGO hakuna mahali samia ametembea na gari moja ndani ya USA [emoji631].
Labda hukutulia uiangalie hiyo clip vizuri.
Msiwe mnapotosha watu kwa ujinga wenu.
Weka hapa hiyo video anayotembea na gari moja tuione.
Serikali za wenzenu wanajali Protocol na Rais yeyote akiizuru nchi lazima apewe heshima yake.
Acheni UONGO.
wote tunafuatilia kinachojiri kwenye hiyo ziara.
Nashangaa hata Moderators wa humu nao kwa sasa wanafukuzia asali au nini?
Uzi kama huu mnauacha ila mnafuta nyuzi zenye mashiko ila zinawaumiza washikaji wenu au?
Let's be fair.......
Rais akiwa ugenini,nchi mwenyeji hubeba dhamana ya ulinzi,usione hakuna watu ukadhani hakuna ulinzi,angalia msafara wa Waziri mkuu wa uingereza..hutoona walinzi,si kwamba hawapo
Kila idara ya usalama Ina namna yake inayoona inafaa kuweka usalamaHuku inashindikana nini ulinzi kuwa wa hivyo maana huku ndio amepigiwa kura?
Kila idara ya usalama Ina namna yake inayoona inafaa kuweka usalama
Tena masokwe kabisaUkiona mazingira anayokuwa nayo Rais wetu akiwa nje ambako hana kura hata moja, na haya yanayofanyika akiwa hapa wanaposema wameshinda uchaguzi kwa kishindo ni aibu ya mwaka. Hapo ndio utagundua hakuna ulinzi wowote, bali msafara wa rais ni sehemu ya upigaji wa wazi. Hata wazungu wanapoona kinachofanyika kwenye ziara zake hapa nchini na akiwa nje, si bure wazungu wanatuita manyani.
Ni woga au kukosekana kwa amani nchini kunasababisha hii misururu mirefu?Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope
Ingekuwa viongozi wetu wakisafiri nje wanajifunza mambo mazuri wanayoyaona (kama huwa wanayaona) tungekuwa mbali sana. Hata boda boda hawangehatarisha usalama wa waenda kwa miguu unaouona hapa Bongo!Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope
Kule anaonekana kama diwaniNimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope
matumizi mabaya ya fedha za ummaUkiona mazingira anayokuwa nayo Rais wetu akiwa nje ambako hana kura hata moja, na haya yanayofanyika akiwa hapa wanaposema wameshinda uchaguzi kwa kishindo ni aibu ya mwaka. Hapo ndio utagundua hakuna ulinzi wowote, bali msafara wa rais ni sehemu ya upigaji wa wazi. Hata wazungu wanapoona kinachofanyika kwenye ziara zake hapa nchini na akiwa nje, si bure wazungu wanatuita manyani.