Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Huku watu wanajitengenezea ulaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi zimelaaniwa hizi
Kupiga pesaHuku watu wanajitengenezea ulaji
Mbona bunduki na mavazi ni aina moja?
Una mhemko Sana,hebu nenda you tube angalia msafara wa rais wa marekani!!?..dar Ina barabara moja morogoro ndiyo rais atapita,huko ambako hakuna foleni Wana barabara ngapi!?...Hakuna cha zaidi ya uwezo mdogo wa kufikiri na kutengeneza mazingira ya upigaji. Ule ujinga eti rais anapita wananchi wanasimamushwa hadi masaa mawili huko hakuna ndio maana wana maendeleo. Huku rais anaingia madarakani kwa kupora uchaguzi, halafu eti anageuka muheshimiwa na kusujudiwa juu!
Una mhemko Sana,hebu nenda you tube angalia msafara wa rais wa marekani!!?..dar Ina barabara moja morogoro ndiyo rais atapita,huko ambako hakuna foleni Wana barabara ngapi!?...
Ili ETI asije akafa.Ndio kusimamisha watu masaa mawili barabara wakati bado rais yuko nyumbani?li ETI asijekufa.
Ulisimama wapi masaa mawili kupisha msafara wa rais!?Ndio kusimamisha watu masaa mawili barabara wakati bado rais yuko nyumbani?
Msafara wake huwa una waganga?!Bila hata Waganga ?
Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope
Tupia picha tumwone!
Ulisimama wapi masaa mawili kupisha msafara wa rais!?
Kupitia juu msitari ndiyo kufanyaje!?...Unauliza au unapigia juu mstari?!