Nashauri msafara wa Rais Samia nchini Marekani, uwe ndio msafara wake hapa nchini ili tupunguze magwanda na mitutu

Ulinzi wake ulikua kwa ajili ya wasiofurahishwa na aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya Taifa.
Ushawahi kuona motorcade ya kagame au muse7 hehe

Nyerere mwenyewe alikuwaga msafara

Ova
 
Ulinzi wake ulikua kwa ajili ya wasiofurahishwa na aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya Taifa.
Ukisha kuwa kiongozi hutapendwa na kila mtu
Awamu zote za marais watu ni kulalamika
Asipo safari malalamiko
Akisafiri malalamiko
Akiwa mkali malalamiko
Akiwa mpole malalamiko

Ubinadam kazi+wabongo mpaka leo hawajui wanasimamia nini

Ova
 
Ulinzi wake ulikua kwa ajili ya wasiofurahishwa na aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya Taifa.

Na mama pia ulinzi wake ni kwaajili ya wasiofurahishwa na anayoyafanya kwa manufaa ya taifa
 
Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.

Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope
Tatizo ni kwamba baada ya uchaguzi wa 2015 nchi yetu kwa sehemu kubwa ilianza kuongozwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo hivyo viliwaminisha viongozi wetu kuwa ulinzi wao unahitaji kuimarishwa. Ghafla ulinzi huo wa rais ukawa kufuru. Kamati za ulinzi za wilaya na mikoa zikawa sehemu ya misafara ya viongozi hao kwenda kutembelea wananchi. Hali haiwezi kubadilika bila kiongozi mwenyewe kukataa. Ndivyo ilivyo pia kwenye hali ya rais kupewa utukufu; bila yeye binafsi kukataa haiwezi kuachwa.
 
Ukiona mazingira anayokuwa nayo Rais wetu akiwa nje ambako hana kura hata moja, na haya yanayofanyika akiwa hapa wanaposema wameshinda uchaguzi kwa kishindo ni aibu ya mwaka. Hapo ndio utagundua hakuna ulinzi wowote, bali msafara wa rais ni sehemu ya upigaji wa wazi. Hata wazungu wanapoona kinachofanyika kwenye ziara zake hapa nchini na akiwa nje, si bure wazungu wanatuita manyani.
Kwani nae ni dhalimu?

Nyie mibavicha vipi?
 
Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.

Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji watavutiwa zaidi KULIKO wanapoona mitutu. Tukumbuke Bado watu wengi Duniani awajui Tanzania; hasa wakigoogle baada ya kuona film ya royal tour wakaona misafara na silaha nzito wanaweza wakaamini kwamba Sisi siyo kisiwa Cha amani. Tibadili startegy hata Kwa kupunguza kombati na kuadopt askari wasiovaa uniform kupooza hofu ya Dunia. Ukitafuta msaafara wa Rais wa Ulaya MWENYE magandwa ndani ya nchi Yao ni wachache hivyo na assume wananchi wao ambao tunawaita wawekezaji, wafanyabiashara na watalii awajazoea viongozi kulindwa na mitutu mizito. Tusiwatishe watalii; tupunguze misafara ya kuogofya tuamini nchi Yetu Haina tishio kubwa kiviile kama enzi ya Mzee baba ambapo yeye aliamini migwanda ndo Ulinzi sahihi. Tupunguze kidogo convoy wataalii wasiogope

Unadhani Marekani ni Mchambawima, Zanzibar, au Kibaigwa, Morogoro?

Jukumu la ulinzi wa foreign president ni la host country. Kama unadhani ulinzi anaopewa hautoshi, jaribu kuleta za kuleta pale alipo, kisha uje hapa jukwaani kutupa mrejesho!
 
Kwani amesema ulinzi kule haukutosha??🤣🤣🤣
 
Wacha UONGO hakuna mahali samia ametembea na gari moja ndani ya USA [emoji631].

Labda hukutulia uiangalie hiyo clip vizuri.

Msiwe mnapotosha watu kwa ujinga wenu.

Weka hapa hiyo video anayotembea na gari moja tuione.

Serikali za wenzenu wanajali Protocol na Rais yeyote akiizuru nchi lazima apewe heshima yake.

Acheni UONGO.
wote tunafuatilia kinachojiri kwenye hiyo ziara.

Nashangaa hata Moderators wa humu nao kwa sasa wanafukuzia asali au nini?

Uzi kama huu mnauacha ila mnafuta nyuzi zenye mashiko ila zinawaumiza washikaji wenu au?

Let's be fair.......
Badala ya kupiga kelel kama zumari ungetumia wino huo kuleta wewe hiyo clip yenye msafara mrefu.

Ujinga ni kipaji na kweli wewe unacho.
 
Back
Top Bottom