Nashauri msafara wa Rais Samia nchini Marekani, uwe ndio msafara wake hapa nchini ili tupunguze magwanda na mitutu

Una mhemko Sana,hebu nenda you tube angalia msafara wa rais wa marekani!!?..dar Ina barabara moja morogoro ndiyo rais atapita,huko ambako hakuna foleni Wana barabara ngapi!?...
 
Una mhemko Sana,hebu nenda you tube angalia msafara wa rais wa marekani!!?..dar Ina barabara moja morogoro ndiyo rais atapita,huko ambako hakuna foleni Wana barabara ngapi!?...

Ndio kusimamisha watu masaa mawili barabara wakati bado rais yuko nyumbani?
 

Punguza kawivu basi masafara wa kwenda zake ulikuwa mara mbili ya huu wa awamu ya sita
 
Halafu watu wakale wapi ndugu? Unatakiwa ufahamu kila kinachofanyika na hizi serikali zetu sio kwasababu wanampenda mtu yeyote ni njia za kutengeneza mirija. Hata hizo safari hizo, acheni watu wale......
 
Msafara wa raisi huwa ni mbinu za wapigaji wajane. Hata akitembea na gari moja tu hakumzuii kutimiza majukumu yake.
"Mtanitambuaje kama Mimi ndie rais"
 
Huwezi kuta msanii au mtu maarufu Mzungu amerundika idadi ya magari, makabati ya nguo na viatu nyumbani mwake haya ufanywa na blacks.
 
rais magufuli ndio muasisi wa ulinzi wa mibunduki na mihellicopter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…