Nashauri msafara wa Rais Samia nchini Marekani, uwe ndio msafara wake hapa nchini ili tupunguze magwanda na mitutu

Ulinzi wake ulikua kwa ajili ya wasiofurahishwa na aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya Taifa.
Ushawahi kuona motorcade ya kagame au muse7 hehe

Nyerere mwenyewe alikuwaga msafara

Ova
 
Ulinzi wake ulikua kwa ajili ya wasiofurahishwa na aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya Taifa.
Ukisha kuwa kiongozi hutapendwa na kila mtu
Awamu zote za marais watu ni kulalamika
Asipo safari malalamiko
Akisafiri malalamiko
Akiwa mkali malalamiko
Akiwa mpole malalamiko

Ubinadam kazi+wabongo mpaka leo hawajui wanasimamia nini

Ova
 
Ulinzi wake ulikua kwa ajili ya wasiofurahishwa na aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya Taifa.

Na mama pia ulinzi wake ni kwaajili ya wasiofurahishwa na anayoyafanya kwa manufaa ya taifa
 
Tatizo ni kwamba baada ya uchaguzi wa 2015 nchi yetu kwa sehemu kubwa ilianza kuongozwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo hivyo viliwaminisha viongozi wetu kuwa ulinzi wao unahitaji kuimarishwa. Ghafla ulinzi huo wa rais ukawa kufuru. Kamati za ulinzi za wilaya na mikoa zikawa sehemu ya misafara ya viongozi hao kwenda kutembelea wananchi. Hali haiwezi kubadilika bila kiongozi mwenyewe kukataa. Ndivyo ilivyo pia kwenye hali ya rais kupewa utukufu; bila yeye binafsi kukataa haiwezi kuachwa.
 
Kwani nae ni dhalimu?

Nyie mibavicha vipi?
 
Unadhani Marekani ni Mchambawima, Zanzibar, au Kibaigwa, Morogoro?

Jukumu la ulinzi wa foreign president ni la host country. Kama unadhani ulinzi anaopewa hautoshi, jaribu kuleta za kuleta pale alipo, kisha uje hapa jukwaani kutupa mrejesho!
 
Kwani amesema ulinzi kule haukutosha??🤣🤣🤣
 
Badala ya kupiga kelel kama zumari ungetumia wino huo kuleta wewe hiyo clip yenye msafara mrefu.

Ujinga ni kipaji na kweli wewe unacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…