Nashauri Pesa za Sherehe za Uhuru 9 Disemba, 2021 zisitishwe na Pesa zielekezwe katika Changamoto za Umeme na Maji nchini

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
 
Kwani kuna changamoto wapi?

IMG_20211119_091739_123.jpg
 
Unadhani hapendi Kuinuliwa,kutukuzwa,kupigiwa kwata.akiwa Ke wa kwanza kushika jumba jeupe.
Kenyetta alishapewa kadi na Dada yake aje kuhudhuria Uhuru day.
Pia hata yule wa UK nae alialikwa walipokutana Scotland.
 
Mambo ya kudemka hayo 😁😁
 
Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
Hawakawii kusema changamoto ya Maji/umeme zimeletwa na wapinzani kwa kushirikiana na mabeberu
 
Unadhani hapendi Kuinuliwa,kutukuzwa,kupigiwa kwata.akiwa Ke wa kwanza kushika jumba jeupe.
Kenyetta alishapewa kadi na Dada yake aje kuhudhuria Uhuru day.
Pia hata yule wa UK nae alialikwa walipokutana Scotland.
Hakuna kiongozi asiependa Kuheshimiwa.
 
Ili ujue duniani kuna watu hawana aibu utaona wanasherekea izo sherehe na kutangazia dunia uchumi wa nchi unapaa licha ya hizi changamoto kubwa na kero iliyojitokeza kwa wananchi
 
Hizo changamoto zipo tangu uhuru, si za kuondoa kwa miaka sitini, labda miaka mingine hamsini tena
Tena hizo pesa zipelekwe Zanzibar zikatatue changamoto za miundombinu,
 
Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
Asilimia 50 mgao nyingine zinaenda kwetu Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
Hayo yaliwezekana enzi ya JIWE tu!!! Huo ndio uchochoro wa wapigaji wakati wa sherehe!!
 
Back
Top Bottom