Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Za usiku mnene
Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu
Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo
Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua
Oktober tunatiki na tukatiki ndugu zangu
Busu la Kenge