Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Unahofu Watu wakitoka nini kitatokea?Za usiku mnene
Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoez hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayar kulinda aman ya nchi yetu
Hii itaongeza nguvu zaid zid ya hawa manyumbu wanachochea fujo
Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua
Oktober tunatiki na tukatiki ndugu zangu
Busu la Kenge
Za usiku mnene

Vichwa vyenu ni vya wizi, mafunzo wapi na wapi?waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu
🤣 eti mafunzo, tafuta kazi ya kufanya ww , polisi hawana muda huoZa usiku mnene
Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu
Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo
Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua
Oktober tunatiki na tukatiki ndugu zangu
Busu la Kenge
Endelea kutamba humu humu ukitoa pua barabaran kufanya fujo nitakupa virungu na mabanz🤣 eti mafunzo, tafuta kazi ya kufanya ww , polisi hawana muda huo
Papai huzaa papaiMafunzo ya siku tano halafu mpewe silaha za moto au siyo?
CCM nyote akili kama za mama yenu.
Jifanye jeur uwe chibaPapa huzaa papai