Maskini SlaaaNamshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dk. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Hicho Cheo kidogo Dr.SLAA nafasi anayostahiri ni UWAZIRI MKUUNamshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Yule Mzee mtammalizia ile sumuDkt. Slaa anaandaliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM!
Hali tete uko,Rais wa Ukreine anawapa raia chupa za bia watengeneze silaha[emoji23][emoji23]Ukraine vipi huko?
Silaa kazeeka, hana jipyaNamshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Hii kauli yako imelenga wale watu wajinga, ambao ndio mtaji mkubwa wa ccm. Mtu mwenye akili anakuonawe ni kiroboto tu. Kama unajua Mbowe na Lowassa walifanya biashara haramu ya kuuza na kununua binadamu kwa nini usingeenda mahakamani?Hajanunuliwa, ni mzalendo sana na wananchi wanamuelewa, ni vile tu Mbowe alipewa bilioni mbili na Lowasa ili amuondoe Slaa asigombee Urais,
Uchaguzi ilikuwa mahakama tosha,uliona walivyopigwa?Hii kauli yako imelenga wale watu wajinga, ambao ndio mtaji mkubwa wa ccm. Mtu mwenye akili anakuonawe ni kiroboto tu. Kama unajua Mbowe na Lowassa walifanya biashara haramu ya kuuza na kununua binadamu kwa nini usingeenda mahakamani?
Nani kakudanganya anafaa? Mtu maslahi hafai kuwaNamshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Kwanini asiwe Katibu mkuu wa CCM?Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Hii ni nchi ya hovyo snDuu kweli Watanzania mtu mmoja aweza kuigeuza nnchi chini juu bila kupingwa
Kwa nini usipendekeze akuteuwe wewe? Wewe huna uzoefu au faida yoyote kwa Taifa hili zaidi ya kuleta porojo hapa JF??Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.