allyngaruma
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 124
- 127
Hoja ya mtoa post ni ya kweli. Kwa dharau za madereva wetu., mchana tu makosa mengi je usiku?Sio kweli mkuu, ajali zinatokea muda wowote kuhusu SEVIS inategemea na kampuni Gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja ya mtoa post ni ya kweli. Kwa dharau za madereva wetu., mchana tu makosa mengi je usiku?Sio kweli mkuu, ajali zinatokea muda wowote kuhusu SEVIS inategemea na kampuni Gani
Si kweli. Hizi zako ni fikra hafifu sana, zilizojaa woga..Kwema wakuu?
Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii Sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna Oolisi. Malori nayo ndio mida yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu.
Kuna siku nimesafiri na basi la Frester kwenda Dar es Salaam, kufika Morogoro usiku kama saa nane, dereva anataka kugonga semi za mafuta sababu ana overtake pia hamna Polisi barabarani.
Hivyo hivyo gari la Abood juzi tumetoka Dar dereva anaendesha kwa kasi pia tulilipanda pale Mbezi saa kumi na moja alfajiri gari halikufanyiwa service maana ilikuwa inatoka mkoani na watu wanashuka pale Mbezi na sisi tunapanda sababu hawana muda wa service.
Chonde chonde Serikali sitisheni hizi safari.
NB: Hata ajali mchana zinatokea lakini chanzo hasa ni madereva kuendesha magari usiku so wanachoka wanakosa focus ya kuendesha mchana na kupelekea kupata ajali
Si kweli. Ni fikra na maoni yake tu na tunauheshimu..Hoja ya mtoa post ni ya kweli. Kwa dharau za madereva wetu., mchana tu makosa mengi je usiku?