Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Sema tu hutaki kwa vile daraja hilo liko kanda ya ziwa ambayo inatokana na imani yako ya kuona mambo kutumia kurunzi ya ukabila; lakini unayaona madaraja mengine makubwa yaliyoko mito ya Rufiji, Kilombero, Tazara flyover, Ubungo interchange au hata hili la Tanzanite bridge hayo ni sahihi kwa vile hayako ukanda wa ziwa.
 
Wewe utakuwa ni mkazi wa hicho kijiji cha Busisi ndiyo maana unatetea upuuzi wa jini jiwe.

Unapelekaje mabilioni ya shilingi kujenga daraja kuungqnisha vijiji vya ukweni kwake vyenye wakazi 300?? Jini jiwe mpuuzi sana
Huna akili hata kidogo..eneo hilo linafupisha safari zote za nchi jirani na mikoa ya Kigoma na Kagera..punguzeni ujinga
 
Mjinga hana akili. Kichwa kubwa bure tu. Vinginevyo anatumwa kusema hayo kwa madhumuni mabaya.
 
Ujinga uliopitiliza ndiyo huu.
 
Kumi na mbili kabisa, mdanganyeni mama yenu hata hizo kura asilimia 30 ambazo mngepata kwa watanzania 2025 hamtazipata , yaani ninyi Manyinyieem bongo lala kabisa yaani hujui kwamba SGR ikikamilika ni tishio kwa kw uchumi wa Kenya , Kenya wanatamani Sana SGR bongo isikamilike maana Sgr yao itakosa soko nchi nyin za Uganda ,Congo, Rwanda , Burundi wataitumia bandari yetu mara dufu make usafir utakuwa bei rahis harafu mburukenge Moja inasema et usitishwe, Busisi nayo iendelee Bora tulipe madeni kwa kitu kinachoonekana sio tulipe madeni kw IPTL,Richmond, Escrow, Meremeta , Yaani nyie Msoga camp hamna akili , Nchi lazma ifunguliwe kwa miundombinu, Njoo Kenya uangalie nchi ilivyofunguliwa kwa Barabara,Reli, Flyover n .k harafu unasema nyokonyoko
 
Kumi na mbili kabisa, mdanganyeni mama yenu hata hizo kura asilimia 30 ambazo mngepata kwa watanzania 2025 hamtazipata
Jiwe alipitishwa na kura za kwenye mabegi meusi yaliyosambazwa nchi nzima. Sasa kwann Samia ashindwe kufanya hivyo?

Bila mabegi meusi jiwe asingepata hata 1%
 
Busisi upotevu wa fedha. Hilo daraja ilipaswa kupelekwa Kigoma. Lkn jini jiwe alipumbazwa na ukabila. Alikuwa mbaguzi sana yule
Hivi kigoma ushawahi kufika? Kigoma ni sawa na mtaa wa Igoma mwanza ndo serkali uwekeze fedha nyingi kiasi hicho?
 
Hivi kigoma ushawahi kufika? Kigoma ni sawa na mtaa wa Igoma mwanza ndo serkali uwekeze fedha nyingi kiasi hicho?
Hiki ni kioja. Tukaongelea mahala ambapo Kama daraja lingejengwa nchi ingefungua fursa za biashara na nchi za nje. Lkn Busisi?!!! Kijiji cha Busisi?!!! Jiwe was a zombie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…