Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

Wote waliofanya uokozi waajiriwe idara ya zimamoto. Kama Macron wa Ufaranca alivyofanya kwa kijana wa Senegal kwa kumpa uraia na kuwa mfanyakazi huduma ya zima moto. Japo sidhani kama kwetu tutafanya hivyo.
 
Hasa yule Majaliwa Jackson. That boy is very intelligent. Basi tu mazingira na umaskini itakuwa vilimfanya asipate elimu ya juu.
 
Wote walio fanya uwokozi waajiriwe idara ya zima moto. Kama Macron wa Ufaranca alivyo fanya kwa kijana wa Senegal kwa kumpa uraia na kuwa mfanyakaz huduma ya zima moto. Japo sidhani kama kwetu tutafanya hivyo.
Nilikuwa na wazo hili hata Mimi na Nakuunga mkono kabisaa katika wazo lako hili, Tena nilikuwa naona watu Hawa wanaweza wakawa na weledi mkubwa Sana wakipewa ajira hizi
 
Wote walio fanya uwokozi waajiriwe idara ya zima moto. Kama Macron wa Ufaranca alivyo fanya kwa kijana wa Senegal kwa kumpa uraia na kuwa mfanyakaz huduma ya zima moto. Japo sidhani kama kwetu tutafanya hivyo.
Rais wetu mpendwa Mama Samia ameagiza kijana Yule aliyeongoza uokoaji apatiwe ajira haraka Sanaa, Serikali ya mama yetu Ni sikivu Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…