Nashauri simba sc iachane na masuala ya utani na Yanga

Al Ahl wana wachezaji wenye thamani ya billion 5 Simba wapo?
Kwasababu simba imaejikita kwenye utani na Yanga ndio maana hadi sasa unaona Simba wanasema wana kikosi kizuri kwakua bado wanajicompare na Yanga wenye Maiko Sapong ..

Wakiachana na yanga na kuamia kwa Al ahly watagundua kumbe bado sana ba wataanza kuafamyia kazi mapingufu hadi watafika nchi ya Ahadi
 
Kweli ni aibu kuwa na utani na timu inayoamini ulozi kwenye mpira. Timu ambayo inakaa na kuamua wasipite geti rasmi ni aibu kufanya nayo utani maana ni timu ambayo bado iko enzi za mawe.
 
Kweli ni aibu kuwa na utani na timu inayoamini ulozi kwenye mpira. Timu ambayo inakaa na kuamua wasipite geti rasmi ni aibu kufanya nayo utani maana ni timu ambayo bado iko enzi za mawe.
Unakatwa na wachawi
Na bado Kigoma tunapitia geti lisilo rasmi na kutoingia vyumbani na tunakufunga tena
 
Na Muddy naye anamtegemea baba yake Gulam [emoji1787][emoji23][emoji846]
 
Actually Simba iache kabisa utani.... Soka ni serious business

Imagine unajiandaa na international game professionally wakati wenzako wanategemea kizee kichawi

Utani sasa basi
hebu fafanua hapa, wanategemea kizee kichawi kivip!?
 
imefka atus mtoto anajiona mkubwa kuliko baba
 
Bayern haimilikiwi na tajiri wa kihindi anayenunua share kwa mauli kauli na akifungwa mechi mbili anatishia kujitoa. Ukiachana na udhamini wa ujanja ujanja, Simba kama simba haina tofauti na Majimaji au KMC.
Al Ahly wamewadharau sana, yaani wanasema kufungwa (tena away) na Simba ndio kuliwaasha usingizini, ni kama mliwaotea tu. Wala Yanga hawana utani na nyie, watani wenu ni Prisons.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Pitso Mosimane kocha mkuu wa Al ahly kwenye kituo cha televisheni cha mahdu huko Misri kwenye mahojiano yake na waandishi wa habari baada ya kutwaa ubingwa wa Africa anasema Mechi ya Simba ya home na away ndio zilikua mechi ngumu zaidi kwao msimu huu

Anatokea hopeless mmoja alie pandishiwa makato amejaaa UTI anaedit kauli


Alafu kwenye issue ya umliki inategemea na uendeshwaji wa timu ndio maana Man city inamilikiwa na muarabu ,chelsea m russia Man united mmarekeni kwenye football hasa la kisasa mwenye pesa ndio anamiliki timu hata kamaa ni mnyasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…