marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
- Thread starter
- #41
Kama baba hana muelekea wa maendelea ana wekwa pembeniimefka atus mtoto anajiona mkubwa kuliko baba
Usisahau hata wapumbavu huzeeka so sio kila mzee ana busara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama baba hana muelekea wa maendelea ana wekwa pembeniimefka atus mtoto anajiona mkubwa kuliko baba
Yaani umefikiria ukaona kwamba utani watu wanaombana.kizazi cha PlayStation mna mihemko sana! Siku nyengine utasema waachaga na wapare wasiwe watani kisa wachaga wanahelaNi muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda .
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!..
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC,,
Hayo unasema weweYaani umefikiria ukaona kwamba utani watu wanaombana.kizazi cha PlayStation mna mihemko sana! Siku nyengine utasema waachaga na wapare wasiwe watani kisa wachaga wanahela
simba yenu aiwez simama kwa miguu yake yenyewe ni kwa hisani ya bwenyenye akinuna tu mnaweza ata shuka darajaKama baba hana muelekea wa maendelea ana wekwa pembeni
Usisahau hata wapumbavu huzeeka so sio kila mzee ana busara
HapaaaNi muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda .
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!..
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC,,
Hapa vpJiandae kutukanwa mkuu,ile timu ikiishabikia lazima dish liyumbe
Sent from my itel A16 Plus using JamiiForums mobile app
Ni kweliActually Simba iache kabisa utani.... Soka ni serious business
Imagine unajiandaa na international game professionally wakati wenzako wanategemea kizee kichawi
Utani sasa basi
Si hawa hapaWazo makini sana hili,ngoja sasa wenyewe Utopo waje kulazimisha utana wa jadi,najua hawatokubali.
HapaKama Simba Haina uwezo wa kuzalisha bilion tatu kwa mwaka haiwezi fanana na Klabu yoyote kubwa Afrika, Simba Kama Klabu Haina miguu ya kusimama yenyewe Simba Asilimia kubwa inategemea mapenzi binafsi ya MO na ndio maana uwa Akitishia kuondoka wanakwenda kumsujudia. Nimwenda wazimu pekee ata ifananisha Simba na Klabu yoyote kubwa Afrika.
Matusi haya hapaNalijua hilo wala sina shaka
Sio kweli bna, ni mawazo yako tu. Mbona simba wamefika mbali mzee. Na kama ni usajili basi labda mfuko wao umeishia hapo na sio kua utani wa yanga ndio sababu, wasingefika huko walikofika labda ingekua ivo.Utani wa Yanga unaidumaza sana Simba
Akili za mtu mwenye uharo.Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda .
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!..
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC,,
Mwarabu alitoa kuinunua Man City, Mrusi alitoa pesa kuinunua Chesea, huyu kanjibai yeye katoa malikauli. Aliyekuwa kiongozi wenu kaeleza uhuni unaoendishwa na genge la akina Barbara. Kuhusu kocha wa Al Ahly, baada ya kupoteza mechi dhidi ya Simba alieleza wazi kuwa, hali ya hewa iliwaathiri na Simba hawana uwezo wa kuwafunga.Pitso Mosimane kocha mkuu wa Al ahly kwenye kituo cha televisheni cha mahdu huko Misri kwenye mahojiano yake na waandishi wa habari baada ya kutwaa ubingwa wa Africa anasema Mechi ya Simba ya home na away ndio zilikua mechi ngumu zaidi kwao msimu huu
Anatokea hopeless mmoja alie pandishiwa makato amejaaa UTI anaedit kauli
Alafu kwenye issue ya umliki inategemea na uendeshwaji wa timu ndio maana Man city inamilikiwa na muarabu ,chelsea m russia Man united mmarekeni kwenye football hasa la kisasa mwenye pesa ndio anamiliki timu hata kamaa ni mnyasa
Nyie simba ndo wachawi wakubwaNdio maana tunashauri simba iachane utani na yanga maana walozi huwa hawana malengo ya maana.
Ndio maana tunashauri simba iachane utani na yanga maana walozi huwa hawana malengo ya maana.
Hii habari imefeli haina impact kwa Simba kwasababu Simba inabeba ubingwa na kufanya vizuri caf alafu habari kama hii inakuja haiwezi kuleta athari kwa Simba,mmefeli vibaya sana.Si hawa hapaView attachment 1860463
Simba ishatoka huko kwenye propaganda za kishamba mzee,amka shtuka kimbizana na muda unavyokwenda.