redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Simba iwe mtani au si mtani wa Yanga, ijifananishe ata na vilabu vya ulaya ukweli una baki palepale Simba bado iko mbalisana na kinachoitwa Timu kubwa. Huwezi kuwa Timu kubwa wakati timu Haina uwezo wa kujitegemea hata kwa bajeti ndogo ata ya bilion tatu.
Kwamujibu wa MO Simba thamani yake ni bilion tatu na kidogo Sasa na yeye MO anatoa fedha za mfukoni mwake karibu biliob 4 kwa mwaka.
Yeye ndio anasajili, analipa mishahara anahonga Marefa Sasa katizame robo ya bajeti ya vilabu vikubwa Afrika kwa mwaka uone Kama mbumbumbu fc wanajua au hawajui kwanini zile zinaitwa Klabu kubwa.