Rukube
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 245
- 477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maweeee[emoji87][emoji87][emoji87]Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Tena hutakiwi kupost chochote kinachohusu hyo timuNi muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Yanga Wana idara Bora kabisa yapropaganda dhidi ya [emoji881],uzushi ,majungu, fitna yeyote watakayoitoa inasambaa kwa haraka Kama Moto nyikani, Kama yanga kamati Yao ya mashindano, ingekuwa inawajibika ipasavyo Kama idara ya propaganda,Sasa hivi wangekuwa level ya juu, lakini wahenga walisema "Simba Mwenda pole ndiye anayekula nyama" TuKuTaNe LaKe TaNgAnYiKa stadium.
Kabisa na wana watangazaji na wachambuzi wao spesho kabisa kwa ajiri ya propaganda zaoYanga Wana idara Bora kabisa yapropaganda dhidi ya [emoji881],uzushi ,majungu, fitna yeyote watakayoitoa inasambaa kwa haraka Kama Moto nyikani, Kama yanga kamati Yao ya mashindano, ingekuwa inawajibika ipasavyo Kama idara ya propaganda,Sasa hivi wangekuwa level ya juu, lakini wahenga walisema "Simba Mwenda pole ndiye anayekula nyama" TuKuTaNe LaKe TaNgAnYiKa stadium.
Wao wamenunaHuu ni ukweliUnaweka utana na ka yanga ndo maana kanamshika sharubu.Hata Kigoma huko simba akileta utani na kuchukulia poa atapigwa na hawa dhaifu
Sijaandika huoo uto kwenye andiko lamgu brother kasome vyema ama rudi shuleUliposema Bayern huwa inachukua wachezaji wakubwa nje ya ligi nmeishia hapo
Mimi nashauri Simba iachane haraka na Haji Manara, anadhani mafanikio ya Simba ni kwa sababu ya maneno yake tu wakati kuna watu wanateketeza fedha. Aende Biashara halafu aone kama itapata mafanikio hayo. Tr25 tutapiga kwenye mshono.Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Ni wivu tuMimi nashauri Simba iachane haraka na Haji Manara, anadhani mafanikio ya Simba ni kwa sababu ya maneno yake tu wakati kuna watu wanateketeza fedha. Aende Biashara halafu aone kama itapata mafanikio hayo. Tr25 tutapiga kwenye mshono.
Hakuna cha maana ulichoandika kuhusu Bayern huna unachojua..Sijaandika huoo uto kwenye andiko lamgu brother kasome vyema ama rudi shule
Kwani Yanga ndio wanataka utani na Simba ww kobe kweliNi muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Haya wewe unae jua tuambieHakuna cha maana ulichoandika kuhusu Bayern huna unachojua..
Uliza uambiwe kaa hapo kariakoo udanganye mbumbumbu wenzio