Nashauri simba sc iachane na masuala ya utani na Yanga

imefka atus mtoto anajiona mkubwa kuliko baba
Kama baba hana muelekea wa maendelea ana wekwa pembeni

Usisahau hata wapumbavu huzeeka so sio kila mzee ana busara
 
Yaani umefikiria ukaona kwamba utani watu wanaombana.kizazi cha PlayStation mna mihemko sana! Siku nyengine utasema waachaga na wapare wasiwe watani kisa wachaga wanahela
 
Yaani umefikiria ukaona kwamba utani watu wanaombana.kizazi cha PlayStation mna mihemko sana! Siku nyengine utasema waachaga na wapare wasiwe watani kisa wachaga wanahela
Hayo unasema wewe
 
Kama baba hana muelekea wa maendelea ana wekwa pembeni

Usisahau hata wapumbavu huzeeka so sio kila mzee ana busara
simba yenu aiwez simama kwa miguu yake yenyewe ni kwa hisani ya bwenyenye akinuna tu mnaweza ata shuka daraja
 
Hapaaa
 
Actually Simba iache kabisa utani.... Soka ni serious business

Imagine unajiandaa na international game professionally wakati wenzako wanategemea kizee kichawi

Utani sasa basi
Ni kweli
 
Hapa
 
Utani wa Yanga unaidumaza sana Simba
Sio kweli bna, ni mawazo yako tu. Mbona simba wamefika mbali mzee. Na kama ni usajili basi labda mfuko wao umeishia hapo na sio kua utani wa yanga ndio sababu, wasingefika huko walikofika labda ingekua ivo.
 
Akili za mtu mwenye uharo.
 
Mwarabu alitoa kuinunua Man City, Mrusi alitoa pesa kuinunua Chesea, huyu kanjibai yeye katoa malikauli. Aliyekuwa kiongozi wenu kaeleza uhuni unaoendishwa na genge la akina Barbara. Kuhusu kocha wa Al Ahly, baada ya kupoteza mechi dhidi ya Simba alieleza wazi kuwa, hali ya hewa iliwaathiri na Simba hawana uwezo wa kuwafunga.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…