Ushauri mzuri sana.Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Wewe mwenyewe hapa umeandika utani tu,,,sasa sijui huo utani wa Yanga na Simba utaishaje!Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Niko serious huu sio utaniWewe mwenyewe hapa umeandika utani tu,,,sasa sijui huo utani wa Yanga na Simba utaishaje!
Wewe mbwiga hii imeshachuja tengeneza nyingine
Mzee Mpili kawaharibu sana hawa nyani wa pori la UtopoloYanga hawanaga hoja kabisa wao lugha chafu tu
Hebu niambie AS Vita mwaka jana alizalisha Billion ngoapi?Kama Simba Haina uwezo wa kuzalisha bilion tatu kwa mwaka haiwezi fanana na Klabu yoyote kubwa Afrika, Simba Kama Klabu Haina miguu ya kusimama yenyewe Simba Asilimia kubwa inategemea mapenzi binafsi ya MO na ndio maana uwa Akitishia kuondoka wanakwenda kumsujudia. Nimwenda wazimu pekee ata ifananisha Simba na Klabu yoyote kubwa Afrika.
Ivi Vita ipo katika Klabu kubwa Afrika, uwa mnafikiri sawasawa kweli!!! Vita ipo katika Klabu zilizo changamka si Klabu kubwa Afrika.apo utawakuta Zesco, Nkana, premiero Agosto, MC Alger, El mereik, ismailia, Al Ahly Bengaz n.kHebu niambie AS Vita mwaka jana alizalisha Billion ngoapi?
Hivyo ulivyovitaja siyo level ya Simba.Ivi Vita ipo katika Klabu kubwa Afrika, uwa mnafikiri sawasawa kweli!!! Vita ipo katika Klabu zilizo changamka si Klabu kubwa Afrika.apo utawakuta Zesco, Nkana, premiero Agosto, MC Alger, El mereik, ismailia, Al Ahly Bengaz n.k
Mikia bwana! 2021-22 kombe mtalisikia tuNi muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko kilabu kingine sababu ya huu utani wanao uita wajadi usio na msingi wowote kwenye soka la kisasa.
Ni kweli Simba na Yanga ni local rival na ni local derby na hii iishie hapo na si zaidi.
Kama kweli Simba SC wanataka kua Giant na dominant club Africa wanapaswa kutazama mifano kama Bayern Munic kule German
Bayern na Dortimund ni local rival wale, lakini hana utani Dortimund yeye ana concetrate na ma giant wa ulaya tu, hata sajiri zake hua hafanyi kwa kumtazama Borrusia Dortumund ,yeye anawaangalia Madrid,Barcelona ,Paris wanafanya nini sokoni.
Ndio maana kwenye ligi yao kule Bundes Liga akienda anabomoa tuu hana muda.
Hii ya utani utani inafanya Clabu ya Simba ione kama mpinzani wake kwenye soka ni Yanga Pekee wakati si kweli!.
Mpinzani Simba ni Al Ahly,Mamelody Sundowns huko wakina Tp Mazembe na vilabu ambavyo vinatamba huko champions ligi na sio Yanga tena.
Clabu ya Yanga itafute mtani mwingine yoyote kama ni KMC ,AZAM au MWADUI waanzishe utani na sio Simba SC.
Umegusa pabaya ila ndio ukweli, ni sawa na kumwambia Mbumbumbu huna akili, hapo lazima ulioge povu lake.Kama Simba Haina uwezo wa kuzalisha bilion tatu kwa mwaka haiwezi fanana na Klabu yoyote kubwa Afrika, Simba Kama Klabu Haina miguu ya kusimama yenyewe Simba Asilimia kubwa inategemea mapenzi binafsi ya MO na ndio maana uwa Akitishia kuondoka wanakwenda kumsujudia. Nimwenda wazimu pekee ata ifananisha Simba na Klabu yoyote kubwa Afrika.
Me Pepsi bigi brotherUtani ndio
Bonge LA wazo ,utani ubakie siku ya mechi tu ....unatumia k-vant au
shangazi zasikuKwan uwanjan mule unachezwa utan au mpira