Nashauri simba sc iachane na masuala ya utani na Yanga

Maweeee[emoji87][emoji87][emoji87]
Kwanza inawezekana hujui maana ya derby

Pili huijui historia ya Bayern Munich na Dortmund, hujui kwanini Dortmund ameshindwa kuwa mpinzani mkubwa wa Bayern kutokana na mkataba wao
 
Tena hutakiwi kupost chochote kinachohusu hyo timu
Mm nlishaacha.
 
Hii ni kweli kabisa.
Maana huu utani wa kipumvavu unafanya soka lidumae sana.Yanga wakiwa chini huwa wanawekeza sana kwenye uchawi.Kwa hiyo utakuta pamoja na Simba kuwa ilipo,inavutwa chini ili ilingane na Yanga.

Kwa kuwa Simba wameshaanza kufanikiwa kwenye soka angalau na kuanza kuibwa kama timu kubwa Afrika,iachane na huu uswahili wa akina Haji na Mzee Mpili.
 
Huu ni ukweliUnaweka utana na ka yanga ndo maana kanamshika sharubu.Hata Kigoma huko simba akileta utani na kuchukulia poa atapigwa na hawa dhaifu
 
Yanga Wana idara Bora kabisa yapropaganda dhidi ya [emoji881],uzushi ,majungu, fitna yeyote watakayoitoa inasambaa kwa haraka Kama Moto nyikani, Kama yanga kamati Yao ya mashindano, ingekuwa inawajibika ipasavyo Kama idara ya propaganda,Sasa hivi wangekuwa level ya juu, lakini wahenga walisema "Simba Mwenda pole ndiye anayekula nyama" TuKuTaNe LaKe TaNgAnYiKa stadium.
 
Kabisa na wana watangazaji na wachambuzi wao spesho kabisa kwa ajiri ya propaganda zao
 
Mimi nashauri Simba iachane haraka na Haji Manara, anadhani mafanikio ya Simba ni kwa sababu ya maneno yake tu wakati kuna watu wanateketeza fedha. Aende Biashara halafu aone kama itapata mafanikio hayo. Tr25 tutapiga kwenye mshono.
 
Mimi nashauri Simba iachane haraka na Haji Manara, anadhani mafanikio ya Simba ni kwa sababu ya maneno yake tu wakati kuna watu wanateketeza fedha. Aende Biashara halafu aone kama itapata mafanikio hayo. Tr25 tutapiga kwenye mshono.
Ni wivu tu
 
Kwani Yanga ndio wanataka utani na Simba ww kobe kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…