Wewe ni cheti feki pia.
Kitugani alicho tengeneza kwao, SGR? ama ubungo interchange, ama daraja la sarenda, ama bwawa la umeme la stigle, ama barabara ya njia nane kimara mail moja, ama meli za ziwa nyasa, ama tazara fly over, ama kufufua reli iliyokufa miaka 30 kutoka dar tanga, dar moshi, Arusha, ama kununua ndege zaidi ya kumi, amakujengea vituo vya afya, ama elimu bure, ama stend za mabasi, mbezi dar,dodoma na sehem nyingine ama daraja la busisi hayo yote nikiyo taja kwa uchache yamefanywa chato? Viwanja vyandege kuanzia terminal 3 hapa na mikoa mingine kote huko ni chato?
Wekwani kwenuniwapi ambapo hakuna shughuli za maendeleo ambazo zimefanyika wakati wa Hayati Magu.
Alafu ulitaka asifanye chochote kwao ili mumbeze kama mnavyo mbeza ndugai kwamba haja fanya chochote jimboni kwake.