Ngugai hajamdhalilisha Rais mahali popote, acheni ushambenga! And acheni kujipa kazi ya kumtetea Rais, kazi ambayo hamjapewa, ni Unafiki tu unaowasumbua!
Mpuuzi mkubwa,
Rais kapewa mamlaka na wananchi kuongoza nchi(katiba ilompa urais ni ya wananchi)
Tutaachaje kumtete kisa ndugai mwenye ukoma
 
Ccm ni genge la kihuni na ni chama cha kishetani hakuna wa kuonewa huruma mle maana wote wanalengo moja la kuwadhoofisha watz....
How wanawahadaa tu hawajawahinkuwa na ugomvi... Na kwa taarifa yenu, hakuna mwanaccm mwenye uwezo wa kumchukulia hatua mwenzake maana wote ni wezi wanatofautiana viwango tuu...
 
Ngugai hajamdhalilisha Rais mahali popote, acheni ushambenga! And acheni kujipa kazi ya kumtetea Rais, kazi ambayo hamjapewa, ni Unafiki tu unaowasumbua!
Kweli kabisa! unakuta jitu zima na midevu kibao limeshindwa kununulia watoto wake vitumbua huko nyumbani kwake linakurupuka eti limtete raisi huyo raisi ameomba umtetee!!?
jemid!
 
Ngugai hajamdhalilisha Rais mahali popote, acheni ushambenga! And acheni kujipa kazi ya kumtetea Rais, kazi ambayo hamjapewa, ni Unafiki tu unaowasumbua!
Ndiyo hawa hawa likitokea jambo wanageuka, yaani ni kujifanya wema kwa kiongozi akivuruga utaona mada zinabadilika.
 
Mpuuzi mkubwa,
Rais kapewa mamlaka na wananchi kuongoza nchi(katiba ilompa urais ni ya wananchi)
Tutaachaje kumtete kisa ndugai mwenye ukoma
Amekuomba umtetee? Spika anaongea na Rais muda wowote ule, wakati huu wakisoma hizi comments zenu wanawacheka na kuwaona wapumbavu mliopitiliza! Soon utamsikia Ndugai anamsifia Samia, na Samia anamsifia Ndugai! Wakati huo wewe unaendelea na ujinga wako JF
 
Ndiyo hawa hawa likitokea jambo wanageuka, yaani ni kujifanya wema kwa kiongozi akivuruga utaona mada zinabadilika.
Mambo mengi yamewashinda, sasa wanataka kuwagombanisha wanachama na viongozi waandamizi ndani ya chama na serikali, hilo nalo wameshindwa! Eti wanataka kumuingiza na Majaliwa kwenye huu upuuzi wao, hakuna mtu royal kwenye utawala wa Samia na Magufuli kama Majaliwa, the guy katulia, hana makuu, and sidhani kama huo urais wanaomtabiria hawa wajenga chuki hata kama anautaka, sababu hata huo uwaziri mkuu haujawahi kuwa kwenye ndoto zake
 
Umevisahau ghafla vilivyo fanywa Chatto na kanda pendwa kwa ujumla, walipaji sisi?

Chato kupo hivi. Je, hii ngozi haivutwi mno?

Cheti? No wonder nina vyeti matata sana kuliko utakavyoweza kuvipata maishani mwako mburula wewe.

Hata hivyo nisiache kukwambia. Msituhusishe na mambo yenu. Habari nzima iko hapa:

1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda yetu ni ya kudumu si marafiki.

Pambaneni na hali zenu huko.
 
Za zamani, taratibu za kupata tume huru bado hazijaanza, na Kaijage ilibidi aondoke kutokana na umri, ulitaka hiyo nafasi iwe wazi hadi hapo itapopatikana tume huru?

Kwa hiyo kwa mawazo yako wanaweza kuishi kwenye post hizo kwa miezi kama 2?

Sambarau ni mzigo kwa ukombozi wa nchi hii.

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Hakuna cha Ngugai wala Samia, wote wamoja! Subirini siku muone Ndugai anammwagia sifa Samia, na Samia anammwagia sifa Ngugai! Mnacheza ngoma ya CCM, na nyie kwa kujua/kutojua mnatembea na beat lao
Wameweka biti la ccm ambalo lina mahadhi ya bluzi

Sisi lia tumeamua kuicheza kama la Amapiano hapo ndio watajua hawajui
 
Majaliwa? Hakutajwa kwenye mabilioni ya March 2021?

1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda yetu ni ya kudumu si marafiki.

Hata hivyo haya yenu hayatuhusu.

Pambaneni na hali zenu!
 
Kwa hiyo kwa mawazo yako wanaweza kuishi kwenye post hizo kwa muwazi 2?

Sambarau ni mzigo kwa ukombozi wa nchi hii.

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
Kwa kipimo kipi kusema Sambarau mzigo? Mimi naona kama CDM ndiyo mzigo kutokana na kutokukubali kwao kuevolve kutokana na wakati, BTW mimi naweza kuwa mwanaCDM mtiifu kuliko wewe
 
Hahaha, mabilioni yaliyotajwa na jamaa yenu Kigogo? Hivi mpo naye vipi kwa sasa?
 
N
Naunga mkono
 
Kwa kipimo kipi kusema Sambarau mzigo? Mimi naona kama CDM ndiyo mzigo kutokana na kutokukubali kwao kuevolve kutokana na wakati, BTW mimi naweza kuwa mwanaCDM mtiifu kuliko wewe

Sambarau anaakisi tabia za kina Muzorewa, Sithole, Buthelezi, Umma Party au kina Mudavadi kule Kenya.

Nilioorodhesha hapo walikuwa mizigo kweli kweli. Ndipo sambarau wanapo fit sawa sawa.

Kwenye vyama hakuna mashindano ya utiifu mjomba.

Nisiache kukumbusha cdm tuko kwenye katiba mpya. Hilo ndiyo kipaumbele.

Mengine haya pambaneni na hali zenu.
 
Ujifunze kula kwa jasho lako.
 
Tokomeza wahuni wakina singasinga
 
Hahaha, mabilioni yaliyotajwa na jamaa yenu Kigogo? Hivi mpo naye vipi kwa sasa?

Unadhani hayakuwapo? Kwani ile ripoti ya CAG iliachiwa kutolewa?

Wewe kule kujipendekeza kwa watajwa unaona ni kwa kawaida?
 
Mtu gani miezi sita tuu kishakopa karibu 10trilioni alafu mjinga mmoja anasema tuje tumtetee siku akiondoka 2025 yeye peke yake si atafijisha 60 trillion.
Mjambiani mpumbavu sana huyu
 
Unadhani hayakuwapo? Kwani ile ripoti ya CAG iliachiwa kutolewa?

Wewe unaona kule kujipendekeza kwa watajwa unaona ni kwa kawaida?
Hakuna chochote, uzushi uliozoeleka kila siku, ni kama ule uzushi wenu wa Msoga ndiyo inaongoza Ikulu, Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…