Ni muhimu kabisa kumuunga mkono samia

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mtu gani miezi sita tuu kishakopa karibu 10trilioni alafu mjinga mmoja anasema tuje tumtetee siku akiondoka 2025 yeye peke yake si atafijisha 60 trillion.
Ebu tupe mchanganuo wa Trillion 10,,,maana pesa alizokopa zipo wazi
 
Kama ambavyo wa awamu iliopita alitukanwa msibani hadi kaburini. Naomba muendelee kunawa mikono na kuvaa barakoa...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ndio kwanza kumekucha
 
MBOWE SIO GAID.
 
Mliompa dhamana? ..ni lini mlimpa dhamana wewe na nan?
 

Ebu tupe mchanganuo wa Trillion 10,,,maana pesa alizokopa zipo wazi
Takwimu zinaonesha ndani ya mwaka mmoja 2016/2017 magufuli alikopa 13trln
 
Umeongea kwa uchungu Sana..... Wasikupe elfu saba, kwa maneno hayo wakupe elfu kumi [emoji848][emoji848]
 
#Sio rais wangu!
Hajashiriki kwa namna yoyote kugombania nafasi aliyopo wala sijashiriki kwa namna yoyote kwa yeye kuwepo hapo alipo.
 
Wanakera Sana , huyu mama sjui kawapa nini ...!!
Nami nilijiuliza sana Mwendazake aliwapa nn hawa watu yaan walikua wanamshukuru hata jambo ambalo lilipaswa ashukuriwe MUNGU alie hai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…