Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu
Huyu hajakosowa, bali mgao sasa hivi hapewi ametengwa, hizo ni hasira za kunyang'anywa tonge.

Ndio sababu ya mapovu yote hayo.
Mzee alikua anakula na vipofu wake bila kuwashika mkono alikuwa anawasogezea nyama ye anakula ubwabwa anashiba wenye uchu wa nyama nao wanalumbua lumbua
 
Ndugu zangu wa JF

Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo

Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha

Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi

Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili

Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha

Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!

Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM

Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena

Tumpe ushirikiano Rais Samia

KaziIendelee
Ni kujiuzulu tu mana ndio haendani na sera ya mama, automatically ndugai ninkujiuzulu tu
 
Huyu hajakosowa, bali mgao sasa hivi hapewi ametengwa, hizo ni hasira za kunyang'anywa tonge.

Ndio sababu ya mapovu yote hayo.

Zile $100,000 za wachina alizopewa ili awapigie debe wapate kuijenga Bandari ya Bagamoyo imemchanganya; anafikiri Mama Samia nae amechukua mgao kwenye huo mkopo na yeye amenyimwa ndio sababu ya kulalama kwake!!! As a speaker ,he is discredited!!
 
Kuna mambo ya kuyaweka sawa kidogo hapa..
Tuhuma kwa Ndugai
*Anatumia nafasi yake kwa maslai binafsi!!?.?.. Kivipi?.?. Fafanua ananufaika vipi?.
*Kukwamisha juhudi za muheshimiwa kwenye miradi ya maendeleo?.?.. Kivipi, kipi kinachokwamisha?.

Tanzania si nchi wa kwanza kukopa, Japo si afya kulinganisha na nchi nyingine (eti mbona nchi flani i.e Marekani wanakopa). TZ haijaanza jana wala leo kukopa. Shida sio kukopa, shida ni kwamba hiyo mikopo inalipika?. Uwazi wa kiasi kinachokopwa tunaambiwa ila je kiasi kinachotakiwa kurejeshwa mbona hakisemwi, riba mbona haiwekwi wazi?. Japo kuna maneno ya masharti nafuu ambayo nayo hatuambiwi ni yapi.
Hii ndio sababu deni la taifa linazidi kukua na kulilipa inakuwa mzigo na mzigo wenyewe ni wa wananchi wa kawaida, mwisho wa siku nchi inaanza kutia huruma kuomba wasemehewa madeni,. Tujifunze kutoka kwa wenzetu zetu Zambia na Sri Lanka kilichowakuta.
Hili swala linaleta utata sana na ukakasi kwa maslai ya vizazi vyetu vijavyo.
Kikubwa ni viongozi wasianzishe miradi mikubwa ambayo inahitaji pesa nyingi ambayo baadae inaweza kuligharimu nchi. #Tujikune tunapoweza.
 
Shida mmoja kubwa kwa Watanzania wengi hawajui jinsi siasa zinavyotakiwa kuwa,Ndugai na Samia ni viongozi wa Mihimili 2 tofauti ni washirika wa maendeleo ya Nchi lakini sio kwamba wanatakiwa wawe na mtazamo sawa, tulipokuwa tunazungumza kuwa Bunge halipaswi kuwa rubber stamp ya Serikali ndio maana yake hii.

Sasa muonavyo taka Ndugai aendelee kuwa kiraka wa Serikali- stupid Tanzanians.
You made it clear, Hii ni mihimili miwili ambayo haitakiwi kuingiliana mmoja uuburuze mwingine japo wanatakiwa kwenda sambamba kuleta maendeleo, sio lazima wawe na mtazamo sawa!. Na Spika ana uhuru wa kutoa maoni yake.
Shida ni kwamba watu tunapelekwa na mihemko sana, kila jambo Mkuu akikosolewa huonekana hujuma na chuki.
 
Hujui kitu wewe, spika ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm CC, hivyo kanuni za chama zinatamka kutowa hoja zake na ushauri kwenye vikao rasmi vya chama.

Na ukumbuke si muda mrefu kamati kuu ilikutana Dodoma hakutumia platform hiyo kuwasilisha hoja zake kwenye kikao cha juu kimaamuzi cha chama.

Huyu ni mzandiki na mnafki mkubwa, hasira za kupokwa tonge tu, ni muhuni tu huyu mgonjwa wa akili.
 
Ndugu zangu wa JF

Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo

Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha

Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi

Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili

Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha

Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!

Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM

Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena

Tumpe ushirikiano Rais Samia

KaziIendelee
Ni kweli ajiuzulu tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uswahilini kuna watu wanaamini kiongozi hatakiwi kuwa na mawazo binafsi

Akiunga mkono Rais anaitwa Zuzu, akitofautiana mawazo ajiuzulu

Spika kule Marekan alichana hadharan Hotuba ya Rais baada ya kuisha hotuba, ingekuwa huku ingeombwa apigwe kombora
Spika wa Marekani(Nancy Pelosi) alikiwa Chama tofauti na Rais aliyepo Madarakani (Trump)
 
Wengi tu, wewe na akili yako timamu unampa nchi mtu asiye uchungu na matatizo yako. Familia yako Anakubali kila ujinga kisa haimuhusu watoto wake. Ndugu zake.

Wewe umepewa nafasi kuitetea serikali hii, sio maslahi ya Watanzania. Fanya kazi yako yako.
Umejuaje kama Samia hana uchungu na Tanzania?. Wewe unaijua Tanzania kuliko RIP John Magufuli rais wa awamu ya tano aliyempa umakamu?.

Umejuaje kama Samia haguswi na yanayotokea huku Bara?. Mbona anafanya kazi usiku na mchana kwa mapenzi makubwa kwa faida ya Bara ambayo ina eneo kubwa kuliko Unguja na Pemba?.

Wewe kuwa mwenyeji wa huku bara haikupi kibali cha utakatifu ukajiona upo bora sana kuliko mwenyeji wa kizimkazi Zanzibar.
 
Well, Well Mzazinbari ni Mtanganyika, mtumwa, asiyejielewa. Wewe siku zote utakuwa chini kisa ngozi yako.

Haguswi sababu ya poison, damu fulani, ,udini. Watu haujieliwe leo. Umechanganyikiwa unajiona wewe ni mwarabu.
 
Well, Well Mzazinbari ni Mtanganyika asiyejielewa. Wewe siku zote utakuwa chini kisa ngozi yako.

Haguswi sababu ya poison, damu fulani, ,udini. Watu hawajieli leo.
Muda wetu duniani ni mfupi sana kiasi cha kuishi na chuki, nongwa na visasi.
 
Maza anazingua sana...Amuachie Mbowe ndo tuone kama anawaza kwa kutumia shungi au brain
 
Ndugu zangu wa JF

Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo

Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha

Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi

Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili

Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha

Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!

Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM

Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena

Tumpe ushirikiano Rais Samia

KaziIendelee
Pumbavu
 
Back
Top Bottom