Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyonge wapinzani halafu ajivike upinzani ama kweli huu ni weledi wa kitanzania na unapatikana Tanzania kwa mtu mmoja wa ajabu.Ndugai ndie mpinzani mpya bungeni
Hana hoja yoyote ya maana, kaficha unafiki sawasawa na Polepole. Ni watu waliozoea mav8 na ving'ora na taratibu nyingi za tabaka la watu wa juu.Wewe nyie ni wapuuzi sana. Inaweza kuuza nchi..
Ndugai ni Mzalendo, jibu hoja zake.
January makambaAliyeanzisha slogan ya Sukuma Gang sijui ni nani alimloga.Mbegu imestawi na kumea vya kutosha, sasa ni kuvuna matunda yake.
Sgang wote huwa mnajifichia kichaka Cha uzalendo.
Wengi tu, wewe na akili yako timamu unampa nchi mtu asiye uchungu na matatizo yako. Familia yako Anakubali kila ujinga kisa haimuhusu watoto wake. Ndugu zake.Unaongea ubaguzi mkuu. Kwa hiyo weww mtanganyika ndiye mwenye uchungu na nchi hii?.
Kuna wapumbavu wangapi wameiuza hii nchi na wana passport ya kitanz
Ila kile kizee kilikuwa kihuni sana.Uongouongo tu.😝😝😝😝😝Mchawi hapa ni jiwe aliyeanzisha miradi mingi kwa pamoja huku akiwa hana mbinu ya kuukuza uchumi wa nchi.
Yeye Samia ni baki la nani?Exactly,Samia apige chini mabaki yote Ya dikteta magufuli, hawana ujanja nje ya serikali Wala nje ya Chama hao wapuuzi kina nduugay
Ona kwanza mtu mwenyewe unaemjibu mkuu!Ulitaka aanzishe michache ili iweje, unakipimo utuambie ni miradi mingapi kwa mwaka serikali inatakiwa kuanzisha.Miradi Ile kila mmoja una source of fund ulitaka afanye nini!!!!
Hana hoja yoyote ya maana, kaficha unafiki sawasawa na Polepole. Ni watu waliozoea mav8 na ving'ora na taratibu nyingi za tabaka la watu wa juu.
Wanachoshindwa kuelewa maisha ni gwaride, ukisikia nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho.
Yaani!!Ila kile kizee kilikuwa kihuni sana.Uongouongo tu.😝😝😝😝😝
Halafu mchumia tumbo anavimba kuona Hangaya anakosolewa.Samia alisema yuko tayari kukosolewa.
Ndugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu jitihada za makusudi za Rais Samia kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo inayohitaji Fedha nyingi sana kuikamilisha
Mheshimiwa Ndugai akiwa Kiongozi wa Bunge ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wa kidola na ameamua kwa makusudi kutumia nafasi yake vibaya kwa maslahi binafsi
Ieleweke Rais Samia anakopa fedha kwa maslahi ya Nchi yetu na amekuwa muwazi kwenye suala hili
Ieleweke kuwa Fedha za Tozo haziwezi kugharamia miradi yote mikubwa ya kimkakati na haiwezi kuwa mbadala wa kukopa Fedha
Mheshimiwa Ndugai angeliweza kuomba kuonana na Rais Samia na kumshauri aonavyo badala ya njia aliyoitumia ya kuropoka HADHARANI!
Kwa maoni yangu kauli ya Mheshimiwa Ndugai likusudia kukwamisha juhudi za Rais wetu kukamilisha miradi mbalimbali ya Maendeleo kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM
Nashauri Mheshimiwa JOB NDUGAI ajiuzulu mara moja wadhifa wake wa Uspika na akishindwa kufanya hivyo mamlaka husika zimchukulie hatua za kumvua uanachama wa CCM kwani kwa sasa sio Mwenzetu tena
Tumpe ushirikiano Rais Samia
KaziIendelee