Sasa makubaliano ya Dodoma mliyosusia si ndiyo yanaanza na hicho kipengele cha 3? Then ule mzigo wa warioba ndiyo utashughulikiwa, hicho ndicho samabarau wanataka, sielewi why mna hate kubwa hivyo kwa wenzenu
 
Kuna jamaa anasema hapa kuwa Ndungai ana wabunge na Mama ana watumishi wa serikali

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi Ndugai amekuwa na madhaaifu mengi tangu kuingia kwenye cheo Cha usipika .

Hata hivyo ni vema kukawa na Fair ya uwajibishwaji wake , tuorodheshe viongozi wote waropokaji na wavunja katiba wote! Kisha wawajibishwe kadili itakavyo faa!
 
kwa maana ya mgawanyo wa madaraka kwa mihimili ya serikali, naweza kusema supika anafanya kazi yake na hafanyi kazi take ie yeye Kama kiongozi wa muhimili wa binge ni kazi yake kusimamia mhimili wa utendaji lakini sio na yeye kulalamika barabarani kama mwananchi wa kawaida ndio maana Pro. Assad alisema tuna bunge dhaifu
 
Sasa makubaliano ya Dodoma mliyosusia si ndiyo yanaanza na hicho kipengele cha 3? Then ule mzigo wa warioba ndiyo utashughulikiwa, hicho ndicho samabarau wanataka, sielewi why mna hate kubwa hivyo kwa wenzenu

Usichoelewa ni kuwa sambarau na wenzao wanataka tume kwa ajili ya kuongeza watu wa kuchaguliwa.

CDM wanataka tume ya kupitisha katiba mpya.

Kama hauoni tofauti hapo vua miwani. Utakuwa umetupia miwani ya mbao mjomba.
 
Usichoelewa ni kuwa sambarau na wenzao wanataka tume kwa ajili ya kuongeza watu wa kuchaguliwa.

CDM wanataka tume ya kupitisha katiba mpya.

Kama hauoni tofauti hapo vua miwani. Utakuwa umetupia miwani ya mbao mjomba.
Criteria za kupata mwenyekiti na wajumbe wa tume wanayoitaka CDM VS Sambarau ni tofauti?
 
Pole pole kawashinda alie ingia chamani juzi, itakuwa Mgogo??
 
Mpende msipende lazima Rais atasemwa kwa mazuri na mabaya yake vile vile. Kama hamtaki asemwe mtafutieni kazi nyingine.
 
Ndugai amekosa nidhamu lakini pia ni muhuni
Huwezi kuropoka kauli za kijinga kwa mkuu wako
Hadharani huu ni uhuni mhimili wa bunge
Hauwezi kuendelea kuwa na wahuni kama hawa
Binafsi naomba atoke mjengoni mara moja lakini
Apewe adhabu kali ili asirudie tena manake maneno yake pia ni ya kichochezi Tunapenda amani ya nchi yetu ibaki kama ilivyo
 
hakuna kitu kinaitwa neutral. ndio maana wakienda kupiga kura wote lazima wachague mtu.

Otherwise, haina maana kupiga kura kama upo "neutral"

What you are saying is a gentleman's lie.
I think you are familiar with the word "Swing state". 2005 nilimpigia kura JK, 2010 nikaipeleka kwa Dr, 2015 nikaipeleka kwa Ngoyai, 2020 sikuwepo TZ, ningekuwepo ningeipeleka kwa Lissu! And mara zote mbunge na Diwani huwa nampa kutokana na Rais niliyemchagua, 2015 nilimpa Mtatiro Segerea, ila ubinafsi wa CDM na yule mgombea wao Anatropia ikasababisha jimbo liende kwa yule mother kilaza wa CCM, WaTz wa namna yangu tupo wengi mnoo kuliko nyie wafia chama, msiobadilika kwa lolote
 
Mkuu baadae utakuwa wapi tupige K vanga kuuuubwa.

Huu uhuni wa muhimili mmoja tuiufumbie macho

Hapo ndugai nasimama nae
 
Mkuu wa ndugai ni nani?

Ujue kila mmoja kwenye muhimili wake ni mkuu


Halafu maswala ya ukuu bila uwajibikaji ni utopolo mtupu


Naisubiri kauli ya muhimili wa tatu nayo ije itoe maoni yake

Sisi wa buku 7 tuanze kufukuzana kuzipangua

Ningewaona wa maana kama mngezipangua hoja za ndugai
 
Kwani mwenyekiti aliyetangazwa kapatikana kwa criteria za nani?
Za zamani, taratibu za kupata tume huru bado hazijaanza, na Kaijage ilibidi aondoke kutokana na umri, ulitaka hiyo nafasi iwe wazi hadi hapo itapopatikana tume huru?
 
Akili utakuwa nazo wewe? Mambo yenu huko huko!

Mlidhani akikopa kutengeneza kwao, tulipe sisi tulikuwa hatuoni?

Wewe ni cheti feki pia.

Kitugani alicho tengeneza kwao, SGR? ama ubungo interchange, ama daraja la sarenda, ama bwawa la umeme la stigle, ama barabara ya njia nane kimara mail moja, ama meli za ziwa nyasa, ama tazara fly over, ama kufufua reli iliyokufa miaka 30 kutoka dar tanga, dar moshi, Arusha, ama kununua ndege zaidi ya kumi, amakujengea vituo vya afya, ama elimu bure, ama stend za mabasi, mbezi dar,dodoma na sehem nyingine ama daraja la busisi hayo yote niliyo taja kwa uchache yamefanywa chato? Viwanja vyandege kuanzia terminal 3 hapa na mikoa mingine kote huko ni chato?
Wekwani kwenuniwapi ambapo hakuna shughuli za maendeleo ambazo zimefanyika wakati wa Hayati Magu.

Alafu ulitaka asifanye chochote kwao ili mumbeze kama mnavyo mbeza ndugai kwamba haja fanya chochote jimboni kwake.
 
Hakuna cha Ngugai wala Samia, wote wamoja! Subirini siku muone Ndugai anammwagia sifa Samia, na Samia anammwagia sifa Ngugai! Mnacheza ngoma ya CCM, na nyie kwa kujua/kutojua mnatembea na beat lao
 

Rais aliye madarakani kwa wizi wa kura mtetetee ww. Hiyo ni vita ya majizi ya kura hivyo mtajuana.
 
Hiyo dhamana ulimpa lini Samia wewe?
 
Ndugai ni mshenzi na mpuuzi,
Nadhani hajapewa tripu ya kwenda kutumbua mamilion huko india ndo maana ana nongwa na Mama.

Huyu angepigwa chini tu kwenye chama arudi ubungo kibangu akanywe viroba.
Limtu limevimba kwa ARV linamsumbuaje mama.


Mama piga kazi tuko nyuma yako 2025 TWENDE NA SAMIA SULUHU HASSAN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…