ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
I love my Country Kilimanjaro/Serengeti, nadhani hili litaenda sambamba na katiba mpya huko mbeleni
Mkuu naona unajikanyaga sasa. Tanzania unasema haifahamiki, hapo chini ukesema "mbona wenzetu Zanzibar nchi yao ni maarufu kwa maana hata jina tu ni tamu jamani".Sasa najiuliza kama umekubali Zanzibar ni nchi hiki unachotaka kiitwe Kilimanjaro/Serengeti ni Tanzania yote au ni Tanzania bara a.k.a Tanganyika? Ukumbuke tu kuiita Tanzania yote Kilimanjaro wazanzibari hawata kuacha salama kabisa na waliokuwa na allergy na Kilimanjaro sijui watakufanya nini. Tafadhali fafanua.
Swali langu ni jina badala ya Tanzania au badala ya Tanzania bara a.k.a Tanganyika?Ni jina tu, vingine vyote vinabaki kama vilivyo
Km zanzibar itabaki km ilivyo..Swali langu ni jina badala ya Tanzania au badala ya Tanzania bara a.k.a Tanganyika?
Tasmania iko pande za Australia... Hakukosea... 😁😁Mimi kuna mtu nilimuambia natoka Tanzania akaniambia yeye hua anaisikia sikia hiyo nchi kwamba ipo pande za Australia !!🤣🤣🤣
Zunguka nchi za nje ndo utanielewa, nilikaa na jamaa wa pakistani akaniambia unatoka wapi, nikasema tanzania africa, akaguna nikakolezea east africa, nilivosema east africa akadakia is it close to ethiopia, dah nikachoka kabisaHuna point ya hata ya kutu-convince kufikiria kufanya hivyo
Tasmania iko pande za Autralia... Hakukosea... 😁😁
Huko nyuma tulianza na Jamhuri ya Muungano ya Tanganyika na Zanzibar. Tukianzia hapo basi tunaweza kwenda Jamhuri ya Muungano wa Kilimandjaro na Zanzibar. Serngeti iko neutral zaidi lakini Kilimandjaro inapendeza na inafahamika zaidi. Na ule mwenge wetu na bendera vilisimikwa huko. Tanganyika ni kurudi nyuma ingawa ni better kuliko huu unafiki wa Tanzania Bara.Km zanzibar itabaki km ilivyo..
Inabidi iwe badala ya tanganyika(duu ila hili jina nalooo, yani sisi hata majina ya ajabu ajabu....)
Lkn tukumbuke sasa hapa tutakua tumeua jina la muungano.......
Nimekaa nchi za nje nusu ya Maisha yangu. Ila hoja yako sikubaliani nayo kwa kuwa Kilimanjaro inapata umaarufu kwa sababu ya mlima sasa unataka kila nchi ipewe jina kutokana na umaarufu wa vitu?mfano Egypt tuiite Pyramid South Africa tuiite Table Mountain na Kenya tuiite Maasai Mara? Kuna jina la nchi na vitu nchi itabaki kuwa nchi na vitu vitabaki na majina yakeZunguka nchi za nje ndo utanielewa, nilikaa na jamaa wa pakistani akaniambia unatoka wapi, nikasema tanzania africa, akaguna nikakolezea east africa, nilivosema east africa akadakia is it close to ethiopia, dah nikachoka kabisa
Kwani kuna tatizo? So wote wataweza kuifahamu tz kama ambavyo ww huzifahamu nchi zaoMimi kuna mtu nilimuambia natoka Tanzania akaniambia yeye hua anaisikia sikia hiyo nchi kwamba ipo pande za Australia !!🤣🤣🤣