ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
- Thread starter
- #21
Aisee , ni wazo tu nimetoa kama mtanzania, wala sikuwa na kusudio la kukukera, sorryHana Akili, Au hajui kuzitumia akili zake
Aisee , ni wazo tu nimetoa kama mtanzania, wala sikuwa na kusudio la kukukera, sorryHana Akili, Au hajui kuzitumia akili zake
Mimi kuna mtu nilimuambia natoka Tanzania akaniambia yeye hua anaisikia sikia hiyo nchi kwamba ipo pande za Australia !![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kina mangi hawatakubali jina la kisukuma hiloNa mkoa wa Kilimanjaro tuuite Tanzania
Zunguka nchi za nje ndo utanielewa, nilikaa na jamaa wa pakistani akaniambia unatoka wapi, nikasema tanzania africa, akaguna nikakolezea east africa, nilivosema east africa akadakia is it close to ethiopia, dah nikachoka kabisa
'kaskazini mtasubiri kwanza tujenge kwingine'.Mangi buana[emoji28][emoji28]... Janja janja nyingi sana nyie ndo mana mkiingia ikulu mtataka makao makuu yaende marangu.
Mbona kuna vitu vingi vinaitwa Kikimanjaro na havihusiani na WachagaKilomanjaro kwa sasa ni jina linalo wakilisha wachaga.