Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Waongo sana hawa jamaa. Siku hizi kuna sijui DJ nani nani, wengi sana.KAMA MKANDALA AU RUFUFU?
Mnyonge kwani hili suala lina ubaya gani?Baada ya miaka karibu 60 ya uhuru ndio tulipo fikia hapa.
Hapo kwenye ku pozi movie ili aelezee AK47.Kama wataweza kufunika mapengo yote watapiga hela sana! Ipo hivi kutafsiri kunamapana yake humohumo na ubunifu n.k Kuna swala la usikikaji wa sauti na muonekano wa picha pia,watafsiri wengi wamekuwa wakiharibu ubora wa picha na sauti na unakuta anachotafsiri ni uongo mtupu japo si wote...
Walewale mliozoea kuangalia muvi kama gazeti la udaku.. wapo wanaopenda ukisema wewe cha nini wenzako wanaokota.Hapo kwenye ku pozi movie ili aelezee AK47.
Unadhani watu wangapi wanataka kusikia historia ya AK47.?
Halafu lazima movie itaanza kuboa.
Ujue hiyo ni movie sio documentary.
Mhimu waangalie SOKO linataka nini,
Ku-download movie na kuitafsiri halafu ukaiuza ni PIRACY.Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.
Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Wengi sana wanaharibu, mfano soundtrack ni sehemu muhimu ya movie lakini wakina rufugu huwa wanakata. Kelele za milipuko au magari huwa pia wanakata, wanazingua sana. Ila hapo pa kupozi movie nakataa, wanatakiwa tu kutafsiri kile kinachosemwa tena kwa uaminifu na si kuweka yao.Kama wataweza kufunika mapengo yote watapiga hela sana! Ipo hivi kutafsiri kunamapana yake humohumo na ubunifu n.k Kuna swala la usikikaji wa sauti na muonekano wa picha pia,watafsiri wengi wamekuwa wakiharibu ubora wa picha na sauti na unakuta anachotafsiri ni uongo mtupu japo si wote.
Kama watatokea wenye kuziba mapungufu basi wataheshimisha kazi husika!, let's say mtafsiri anatoka na ubunifu huu mfano kwenye muvi anaonekana mtu anatumia bunduki Aina ya AK47 hapa mtafsiri anaweza akaweka pozi movie kidogo halafu kwa maelezo mafupi na yaliyoshiba anaweza akaielezea aina hiyo ya bunduki na uwezo wake na hata ikibidi ka historia kidogo! Hii inakuwa ni burudani na pia sehemu ya elimu. Yapo mengi wanaweza kuyafanya na Kama mtu anaweza basi awe specific kwenye aina fulani ya muvi labda za kipelelezi anakuwa anatumia muda mwingi kuziangalia kuzifatilia na kujua kwanini hapa palitumika mbinu hii au kwanini hapa palifanywa hivi n.k
Movie sometimes hazina maelezo zinahitaji uelewa Sasa waangaliaji wengi Kuna vitu huwa vinawapita kwa maana wao huwa wanaangalia tu hawana la kujiuliza!.. so no vyema wawameng'enyee wateja wao ili wazipende kazi zao. Muvi nyengine mtu hawezi zipenda kwasababu hajajua undani wake ila akijua basi humnyang'anyi remote!.
Huo ndo mchango wangu.
Hao wanaopenda ni wachache.Walewale mliozoea kuangalia muvi Kama gazeti la udaku.. wapo wanaopenda ukisema wewe cha nini wenzako wanaokota.
Hii ni kikwazo lakini kuna movie ambazo copyright zimeexpire japo ni za kitambo. Na kama ukiweza kupata ruhusa za mtengenezaji unaweza tafsiri za karibuni.Ku-download movie na kuitafsiri halafu ukaiuza ni PIRACY.
Shauri watu waheshimu ubunifu na juhudi za watu kwa kufanya kazi halali
It's just an idea maana nimesemea hivyo maelezo yanaweza kuwa ni marefu kidogo kushinda kipande Cha movie... movie pia hutegemea na uelewa wa mtu.Wengi sana wanaharibu, mfano soundtrack ni sehemu muhimu ya movie lakini wakina rufugu huwa wanakata. Kelele za milipuko au magari huwa pia wanakata, wanazingua sana. Ila hapo pa kupozi movie nakataa, wanatakiwa tu kutafsiri kile kinachosemwa tena kwa uaminifu na si kuweka yao.
Binafsi huwa napenda maelezo in deeply wengine sijui okay kila mtu na lake mengine tutayakuta vitabuni..πHao wanaopenda ni wachache.
Huku uswahili, ambako hizo movies zilizotafsiriwa kwa kiswahili zinapendwa sana, Sidhani kama wanataka kujua historia ya AK47.
Una wazo zuri tatizo ni wengi wanapenda nini?
Dj mark alikua anafanya kwa kiasi chake kuelezea mambo kama hayo ila hapo kwenye kupause haiwezekani itaboa sana.Kama wataweza kufunika mapengo yote watapiga hela sana! Ipo hivi kutafsiri kunamapana yake humohumo na ubunifu n.k Kuna swala la usikikaji wa sauti na muonekano wa picha pia,watafsiri wengi wamekuwa wakiharibu ubora wa picha na sauti na unakuta anachotafsiri ni uongo mtupu japo si wote.