Hapana mkuu haiwezi kudoda hata kidogo.Mtoa mada anachitaka kufanya ni kuwasilisha Business Proposal ya kuuza PIZZA na Burger buza au Mbagala Bishara ita feli vibaya sana.
Mnyonge ni baba yako.Mnyonge kwani hili suala lina ubaya gani?
Namna ilivyotafsiriwa ndiyo imechangia kuvutia watu. Ingetafsiriwa kwa miluzi na makelele wala isingebamba hata kama ni ya Yesu. Na hawa watu wa kitaa wanaoangalia movie za kutafsiriwa siyo wajinga kwamba hawajui kitu kizuri wakikiona. Wanawaangalia wakina mark na Rufufu si kwamba wanawapenda ni kwasababu tu hawana mbadala.Sasa hoja naona ni Movie sio kutafsiriwa Movie ya yesu kivyovyote lazima i takeover sikwajiri imetafsiriwa kwaajiri ni ya yesu nikianza kukulistia movie zote zilizotake over za ma DJ si itafika usiku hapa.
Punguza jazba ndugu mnyonge.Mnyonge ni baba yako.
Unafikiri mtu aliyemaliza chuo atakuwa na uwezo wa kuajiri voice talents kila anapotaka kutafsiri movie? Si pesa itaishia huko!!Huyo kwanza aangalie behind the scenes za Animation movies za Hollywood ndio atatambua sio kila mtu anayeweza kazi hiyo, na pia sana sana wanapendelea kutumia wasanii wa movies waliobobea tayari kwa nyanja ya uigizaji.
Watengenezaji wa filamu wakiwa na mawazo kama yako sidhani kama wangeandaa movie kwa garama kubwa (Sci-Fi, action n.k) labda comed.Mkuu si kwa kila kifaa ati mtu aelezee let's say muvi mfano za huko angani mtu anaona watu wanaelea hajui nini ni nini kuna matukio yanatakiwa mtu apate details hata kidogo alasivyo kila kitu mtu atakuwa anaamini ni uongo! Hiyo ak47 nimetolea mfano tu! Unakuta Kuna siraha inapiga umbali mrefu si kawaida mtu anaweza kudhani ni muvi tu kumbe zipo kweli! Ni kama vile unagusia ila maelezo mafupi yaliyoshiba.
Nishakaa sana Video Library.Namna ilivyotafsiriwa ndiyo imechangia kuvutia watu. Ingetafsiriwa kwa miluzi na makelele wala isingebamba hata kama ni ya Yesu. Na hawa watu wa kitaa wanaoangalia movie za kutafsiriwa siyo wajinga kwamba hawajui kitu kizuri wakikiona. Wanawaangalia wakina mark na Rufufu si kwamba wanawapenda ni kwasababu tu hawana mbadala.
Kama kweli wanapenda miluzi na kelele watakuwa ni peke yao dunia nzima kitu ambacho ni kigumu.
Ni wazo zuri ila sio kwa wasomi wetu wa vyuo vikuu.Labda watoto wa form 4 au A level ndo wafanye hivo.Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.
Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Sasa wafanye kazi kama zile. Wajikusanye waliopita shule kama wale waliosomea maigizo na wafanye kazi kama hiyo. Kazi yao kubwa iwe kupata studio na vifaa vyake.Wale walioitafsiri ile Sultan nimewakubali kwa kazi waliyoifanya, jamaa sauti inaendana sambamba na mdomo wa muigizaji kiasi kwamba unaweza kuamini muigizaji anazungumza kiswahili
😂 😂 😂Unafikiri mtu aliyemaliza chuo atakuwa na uwezo wa kuajiri voice talents kila anapotaka kutafsiri movie? Si pesa itaishia huko!!
Mkuu hivi umenielewa nilichoandika au una reply tu!Watengenezaji wa filamu wakiwa na mawazo kama yako sidhani kama wangeandaa movie kwa garama kubwa (Sci-Fi, action n.k) labda comed.
Asilimia kubwa ya filamu ni uongo na kadiri teknolojia inavyosogea wanaendelea kukusogezea behind the scene tena zile sehemu nyeti ambazo mtu kama wewe huwezi sema "hapo ni uongo"
Kumbuka kuelezea sana movie na matukio kunaondoka uzuri/attention kwa mtazamaji, maana utakuwa umejua nini kinafuata badala ya kuisumbua akili kujua nini kinafuata.
Ni ajira nzuriSasa wafanye kazi kama zile. Wajikusanye waliopita shule kama wale waliosomea maigizo na wafanye kazi kama hiyo. Kazi yao kubwa iwe kupata studio na vifaa vyake.
Uwe makini na muvi za nje kwani wenyewe wakikukuta utakiona cha moto, hakikisha unapata ruhusa toka kwao.Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.
Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Fursa nzuri ndio, lakini ka ni vitabu itabidi upate ruhusa (copyright) kutoka kwa mwenye kitabu na editor wake. Usipofanya hivyo kuna chances ya kuchukuliwa hatua za kisheria na wenyewe.Hivi mtu ukiamua kuvitafsiri vitabu vya kiingereza na kuvichapisha kwa kiswahili, haiwezi kuwa ni fursa nzuri kibiashara?
Inategemea nje wapi, za Ulaya hakuna wa kukufuata, labda hapa Afrika sanasana ukanda huu wetu wa Eastern AfrikaUwe makini na muvi za nje kwani wenyewe wakikukuta utakiona cha moto, hakikisha unapata ruhusa toka kwao.
Sheria hizo zinasimamiwa hapahapa nchini na mamlaka husika chini ya sheria ya copyright.Inategemea nje wapi, za Ulaya hakuna wa kukufuata, labda hapa Afrika sanasana ukanda huu wetu wa Eastern Afrika