Mkama nzinza.Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.
Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Utasikia, na jinsi anavyowapa makavu jamaa zake wanyaturu.Ommy dj kutoka arusha ni mmoja wapo wa hawa wasomi wa chuo yuko vizuri yeye anapiga series za kizungu shida yake ya tangia utotoni ni matusi hapo mvumiliane tulijaribu kumrekebisha tukashindwa
kuliko afe mmarekani mmoja bora wafe wanyaturu buku[emoji23]Utasikia, na jinsi anavyowapa makavu jamaa zake wanyaturu.
Hiyo jamaa ndo dj wangu wa mda wote ila matusi ndo jau sana [emoji30][emoji30][emoji30]Ukitaka kujua mambo ya kihistoria na kigeography tazama movie za ommy dj haswa season daah wewe tu jamaa anajua sana [emoji110][emoji4]
Kama wataweza kufunika mapengo yote watapiga hela sana! Ipo hivi kutafsiri kunamapana yake humohumo na ubunifu n.k Kuna swala la usikikaji wa sauti na muonekano wa picha pia,watafsiri wengi wamekuwa wakiharibu ubora wa picha na sauti na unakuta anachotafsiri ni uongo mtupu japo si wote.
Kama watatokea wenye kuziba mapungufu basi wataheshimisha kazi husika! let's say mtafsiri anatoka na ubunifu huu mfano kwenye muvi anaonekana mtu anatumia bunduki Aina ya AK47 hapa mtafsiri anaweza akaweka pozi movie kidogo halafu kwa maelezo mafupi na yaliyoshiba anaweza akaielezea aina hiyo ya bunduki na uwezo wake na hata ikibidi ka historia kidogo!
Hii inakuwa ni burudani na pia sehemu ya elimu. Yapo mengi wanaweza kuyafanya na Kama mtu anaweza basi awe specific kwenye aina fulani ya muvi labda za kipelelezi anakuwa anatumia muda mwingi kuziangalia kuzifatilia na kujua kwanini hapa palitumika mbinu hii au kwanini hapa palifanywa hivi n.k
Movie sometimes hazina maelezo zinahitaji uelewa Sasa waangaliaji wengi kuna vitu huwa vinawapita kwa maana wao huwa wanaangalia tu hawana la kujiuliza! So no vyema wawameng'enyee wateja wao ili wazipende kazi zao. Muvi nyengine mtu hawezi zipenda kwasababu hajajua undani wake ila akijua basi humnyang'anyi remote!
Huo ndo mchango wangu.
Wakati unaweka pozi kuielezea ak47 tanesco wanakuangalia tuKama wataweza kufunika mapengo yote watapiga hela sana! Ipo hivi kutafsiri kunamapana yake humohumo na ubunifu n.k Kuna swala la usikikaji wa sauti na muonekano wa picha pia,watafsiri wengi wamekuwa wakiharibu ubora wa picha na sauti na unakuta anachotafsiri ni uongo mtupu japo si wote.
Kama watatokea wenye kuziba mapungufu basi wataheshimisha kazi husika! let's say mtafsiri anatoka na ubunifu huu mfano kwenye muvi anaonekana mtu anatumia bunduki Aina ya AK47 hapa mtafsiri anaweza akaweka pozi movie kidogo halafu kwa maelezo mafupi na yaliyoshiba anaweza akaielezea aina hiyo ya bunduki na uwezo wake na hata ikibidi ka historia kidogo!
Hii inakuwa ni burudani na pia sehemu ya elimu. Yapo mengi wanaweza kuyafanya na Kama mtu anaweza basi awe specific kwenye aina fulani ya muvi labda za kipelelezi anakuwa anatumia muda mwingi kuziangalia kuzifatilia na kujua kwanini hapa palitumika mbinu hii au kwanini hapa palifanywa hivi n.k
Movie sometimes hazina maelezo zinahitaji uelewa Sasa waangaliaji wengi kuna vitu huwa vinawapita kwa maana wao huwa wanaangalia tu hawana la kujiuliza! So no vyema wawameng'enyee wateja wao ili wazipende kazi zao. Muvi nyengine mtu hawezi zipenda kwasababu hajajua undani wake ila akijua basi humnyang'anyi remote!
Huo ndo mchango wangu.
We Bata sana..🤣Wakati unaweka pozi kuielezea ak47 tanesco wanakuangalia tu
Cheki maneno......halafu kamluzi kanafuata.
Hata huku kwetu ziko lakini hakuna kesi au lawama kutoka nje nimeiskia, hizi zetu tu ndio balaa kuifanyia marekebisho bila kibali kutoka kwa wenye filamu na bodi kuuSheria hizo zinasimamiwa hapahapa nchini na mamlaka husika chini ya sheria ya copyright.
Wabongo wengi wanapenda zaid mbwembwe za mtafsiri na sio usahihi wa kinachotafsiriwa. Yaan unakuta jamaa anatafsiri ktu tofauti kabisa na subtitle lakn anatia mbwembwe na vimaneno vya uongo uongo unajikuta unaenjoy kumsikilizaKwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.
Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Watu wanapenda zile mbwembwe na madoido za dj wala sio kwamba hawawez kuangalia kwa kusoma subtitleNikiambiwa nichague kuuwawa au kuangalia muvi zilizotafsiriwa ninachagua kuuwawa.
N kama zile movie za wahnd, znazorushwa azam tv kama sikosei,,, wanaongea kihindi but sauti unaskia maneno ya kiswahiliHapana mkuu haiwezi kudoda hata kidogo.
Kuna tamthilia flani zinarushwa tbc, azam, startime na startv nao walianza majuzi kati hapo kuonyesha zilizo_tafasiriwa na siyo kuelezea movie na kuna watu hawaachi/kukosa kuangalia daily huko buza, mbagara, manzese, uswahili, kijenge, ikipinda, isewe nk.